Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hatuna kocha wa kutupa ushindi Man utd. Kama una akili timamu huwezi kumtetea mourinho. Ni kocha alifeli teyari
 
HAMNA JIPYA NYINYI MMESHAFILISIKA MBINU ..KITU AMBACHO MSICHOTAKA KUKIKUBALI NIKUWA MAKOCHA WENU WOTE AMBAO WAMEKUWA WAKIIFNDISHA TEAM YENU TANGU KUONDOKA KWA FERGIE NIMAKOCHA AMBAO TAYARI WAMESHAANZA KUTENGWA NA WAKATI HUU WA SOKA LA KISASA
MBINU ZINAZO TUMIKA SASA NI MBINU BORA MNOO .NAHILO LINACHAGIZWA NA UJIO WA GENERATION YA MAKOCHA WAPYA WANAOTIKISA KWA SASA ...KAMA PORCHETINO.GUARDIOLA DIEGO SIMION ZIDANE NA KINA CONTE ..

Mkuu kwenye orodha ya makocha hao mtoe conte na simion hawana jipya hapo ni pep,zidane, porchetino na klopp mpira wao ni mzur sana.
 
Siku tumepigwa na spurs martial alitokea kulia na leo kampanga vilevile ! Mata akiingia ana perfemo vizuri pia kamueka bench ! Lingard na smalling na young bado anawanang'ania mou ****....sana...
Hahhahhaahah naona akili zinaanza kurudi
Mkuu kwenye orodha ya makocha hao mtoe conte na simion hawana jipya hapo ni pep,zidane, porchetino na klopp mpira wao ni mzur sana.
 
Walimsifia dembele jana nafikiri leo waje kumpa sifa na huyu mtu aliyefunika mchezaji ghali wa paun 90m hahahaha jamani tuweni siriaz kidogo hivi kama pogba ana thamani ya euro 100m hivi huyu jonjo shervey si atavunja rekodi ya neymer!!!!!!!!!!
Acha ujinga wa kijinga na wewe. Man U kapiga mpira mkubwa sana. Sio ule wa Wenger jana kakimbizwa mwanzo mwisho. Uwe unajitahidi kuangalia hata statistics baada ya mchezo.
 
Mourinho hata awe na timu nzuri kiasi gani tangu akiwa chelsea akikutana na Newcastle ushindi lazima uwe mgumu kwake
Mkuu usiseme hivyo..Ukweli halisi ni kuwa Mou hajawahi kushinda katika uwanja wa St. James Park toka amezaliwa.
 
Mkuu kwenye orodha ya makocha hao mtoe conte na simion hawana jipya hapo ni pep,zidane, porchetino na klopp mpira wao ni mzur sana.
asante ..simion ufndi wake ni waubabe ..ila bado hajapewa team yenye kutoa budget kubwa..so acha nimpe nafasi kidogo
 
Lukaku ameshindwa kuwa agressive kabisa, hana control nzuri pia hakai kwenye nafasi yake.
Jingine mouh aanze kuchezesha viungo watatu ili Pogba akacheze juu. Na suala la Jesse ni muda wa kumpisha Mata sasa.
Smalling ovyo hana confidence na hana defensive skills za mipira ya juu.
Mkuu umeangalia mechi ya leo? Ukimlaumu Lukaku nitakushangaa sana. Angalia kagusa mipira mingapi na katoa pasi ngapi, halafu linganisha na huyo takataka Martial wenu anaesimama tu kusubiria wenzake wapambane wampelekee mipira.
 
Siku tumepigwa na spurs martial alitokea kulia na leo kampanga vilevile ! Mata akiingia ana perfemo vizuri pia kamueka bench ! Lingard na smalling na young bado anawanang'ania mou ****....sana...
a2e1d3face75c432e4345f1bd06852a0.jpg
yaani na huyu inaonekana moyoni mwake anasema hilo neno la mwisho hapo
 
Hahhahhaahah naona akili zinaanza kurudi

mourinho ni best couch hata zizou anachechemea hiyo ni kawaida even sir alex alilaumiwa sana 2001 hadi 2003 kidogo asepe mechi ya leo haina mantik kwangu nimuone et kilaza never atakosolewa akikosea hata anapofanya vizur nipo nae naiman nae kubwa mno as long as yupo nafas ya pili kitu ambacho toka aondoke alex ilikuwa ngumu.
 
Acha ushabiki mavi mkuu..kwanza martial katoka kuwa mchezaji bora wa mwezi uliopita na pia mchango wake kwa mwezi january ulikuwa mzuri sana..naona kila kitu ul unampa lawama martial,ni kweli amekopoteza clear chansi ila leo hatukutengeneza nafasi nyingi za goli..wachezaji wamecheza chini ya kiwango,ila pogba amezidi kabisa,na tambua kiungo ndo kila kitu...all in all bado martial ni mchezaji mzuri ambaye timu ikiwa kwenye peak,na yeye pia anaperform vizuri..hizi critics zako juu ya martial nadiriki kuziita ni za kipumbavu.
Mashabiki wa msimu bhana..kwa hiyo alipopewa hiyo tuzo ukaona kweli alikuwa anastahili. Usiwe mvivu nenda kwenye statistics za leo uangalie huyo mchezaji wako aliyecheza 90min na Mata aliyecheza 30min ni nani amegusa na ametoa pasi nyingi halafu ndio urudi hapa na hizo pumba zako.
 
Acha ujinga wa kijinga na wewe. Man U kapiga mpira mkubwa sana. Sio ule wa Wenger jana kakimbizwa mwanzo mwisho. Uwe unajitahidi kuangalia hata statistics baada ya mchezo.
Povu ruksa

Sasa Spurs ulivyokutana nao pia uliupiga mwingi eti mkuu?sawa nimekubali umeupiga mwingi kuliko wa gunnerz nijaalie matokeo......ubao unasoma ngapi?
9a7e09861f16fee4f9b05c3d71bf86c5.jpg
chungulia hapo kwa juu upande wa kushoto
 
kazi unayo umeanza kujua mpira karibuni nini?
 
Back
Top Bottom