Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Naona taratiiiiiiiiiiibu unaanza kuona tatizo la kocha
Tatizo sio kocha bali kocha atafute kiungo mwingine wa kumsaidia pogba kocha kwa upande wa timu inafanya poa tungekuwa hovyo kama timu zingine hapo ndo tatizo la kocha.

[quote uid=236740 name="ze-dudu" post=18279228]Teampogba nipo
Mnaomkataa huyu jamaa mtamuelewa tu mi sijawahi kumkatia tamaa labda baada ya misimu mitatu kuanzia sasa ndio nitaanza kuona tulipigwa

28bceabe0129799990a480962e905b8e.jpg

Yaani Nyie Pogba-Fanboys Mutasubiri Sana Kwa Boya Wenu Huyo!!

touches-png.427153

In Case of Touches ↑↑ He is Far away From Hendo

passes-complete-png.427156

Who the hell is him??? ↑↑ Even Ngolo Kante is much better than him!!!

assist-png.427157

What about assist ↑↑ ?? He has 0.00000% of assist wich is equal to £85 million From Juventas!
While Coutinho has 4 assists which is equal to £8.5 million From Intermilan[/QUOTE]
Hao pogba anaoshindana nao wana misimu mingap wakicheza epl? KDB kama sikosei msimu wa 4 henderson msimu sijui wa mia huu dogo ndo kwanza msimu wa pili huu mi pogba sina wasiwasi nae timu inavyoimarika na yy atapata viungo wa sahihi wa kwenda nae

If Bournemouth beat Chelsea 3-0 and Watford beat Chelsea 4-1, Assuming momentum before collision = momentum after collision and forces applied to a rigid body all act in the same plane, calculate the number of goals Barcelona will score against Chelsea. (Take g=9.8m/s2)
SOLUTION

Given that g= 9.8m/s^2...{ let Chelsea be denoted as C, Bournemouth be denoted as B, and Watford is denoted by W}

3B+ 0C = 3......Eqn 1

4W + (-1) = 3...Eqn 2

The cumulative goal conceded is {3+3 =6}

Let cumulative be denoted as "a"
Therefore, if Barca denoted as Br

Squad strength of barca = a+1
Messi probability to score = a+1+1

Chelsea being a team of dog turds = a+1+1+1

Note a=6

Therefore, a+3 =6+3=9

9 goals.
See d work of science student.

Wisdom will not kill some people

Hapa nani alikuwa anapost hizi pumba again nenda facebook ndio utawadanganya

Still You are wrong tena very wrong! Hiyo Post Haikuwa na Mantiki ya Kumrate Hendo Hata Kidogo!

Hapo Nimewataja Wachezaji Watatu Hendo, Kante na Coutinho.

Lengo la Hiyo Post haikuwa ikieleza Kuwa Hao Watatu ni Bora Kuliko Pogba! Lengo ni Nilikuwa naeleza Kuwa Anachokifanya uwanjani ni tofauti na thamani aliyonunuliwa.
Kwani Hata Mchezaji Below average kama Hendo kamzidi Stats World Class Pogba!! Hiyo ndiyo Mantiki halisi ya post yangu.

Hapo ni Wewe ndiye unayedanganya Kwa Kuchukua Hiyo post ya Kati kati Ukaacha za mwanzo na za mwisho ili uaminishe watu kuwa ipo sahihi na Misikule ikakimbilia Kukupa likes kama Kwamba Umepatia.

Jaribu mbinu nyengine lakini hii siyo.
Mimi ninasifa ya kusimamia hoja yangu.
Hiyo post haihusiani hasa na kumsifu Hendo! Hivi huoni kama ninpost ya mlinganisho hiyo Na Wala si ya Kusifu mtu?

Tatizo la Pogba ni Mou kwa kiungo kama Ander Herrera.Ander+Nemanja,mwache Pogba huru.

[quote uid=236740 name="ze-dudu" post=18279228]Teampogba nipo
Mnaomkataa huyu jamaa mtamuelewa tu mi sijawahi kumkatia tamaa labda baada ya misimu mitatu kuanzia sasa ndio nitaanza kuona tulipigwa

28bceabe0129799990a480962e905b8e.jpg

Yaani Nyie Pogba-Fanboys Mutasubiri Sana Kwa Boya Wenu Huyo!!

touches-png.427153

In Case of Touches ↑↑ He is Far away From Hendo

passes-complete-png.427156

Who the hell is him??? ↑↑ Even Ngolo Kante is much better than him!!!

assist-png.427157

What about assist ↑↑ ?? He has 0.00000% of assist wich is equal to £85 million From Juventas!
While Coutinho has 4 assists which is equal to £8.5 million From Intermilan[/QUOTE]

Je hapo Nimemsifu Kuwa ni Bora? Hiyo ndiyo hoja ya hapa!!
Hapo nililinganisha tu kwa alichofanya ambacho tulitarajia Kifanywe na Pogba, lakini Sikusema Kuwa Hendo ni Bora Kuliko Pogba.

Ni Wazi hapo kuwa dhamira ni Kuwa "Hata Huyo Mbovu Hendo Hakumzidi"

Leteni wapi niliposema kuwa Hendo ni Mchezaji bora?

Still You are wrong tena very wrong! Hiyo Post Haikuwa na Mantiki ya Kumrate Hendo Hata Kidogo!

Hapo Nimewataja Wachezaji Watatu Hendo, Kante na Coutinho.

Lengo la Hiyo Post haikuwa ikieleza Kuwa Hao Watatu ni Bora Kuliko Pogba! Lengo ni Nilikuwa naeleza Kuwa Anachokifanya uwanjani ni tofauti na thamani aliyonunuliwa.
Kwani Hata Mchezaji Below average kama Hendo kamzidi Stats World Class Pogba!! Hiyo ndiyo Mantiki halisi ya post yangu.

Hapo ni Wewe ndiye unayedanganya Kwa Kuchukua Hiyo post ya Kati kati Ukaacha za mwanzo na za mwisho ili uaminishe watu kuwa ipo sahihi na Misikule ikakimbilia Kukupa likes kama Kwamba Umepatia.

Jaribu mbinu nyengine lakini hii siyo.
Mimi ninasifa ya kusimamia hoja yangu.
Hiyo post haihusiani hasa na kumsifu Hendo! Hivi huoni kama ninpost ya mlinganisho hiyo Na Wala si ya Kusifu mtu?
Ukiandika pumba jitahidi kuwa na kumbukumbu,JF sio ya watoto wa chekechea jitahidi kuwa realistic sina muda wa kufukunyua pumba zako ziko nyingi last week umesema Liverpool akimtoa Porto anakutana na Inter ukaambiwa Inter hayupo UCL ukabadilisha(ratiba ya robo & nusu fainal haijapangwa) na ukatuambia Coutinho hawezi kuuzwa sababu mkataba wake hauna release clause

Yaani Nyie Pogba-Fanboys Mutasubiri Sana Kwa Boya Wenu Huyo!!

touches-png.427153

In Case of Touches ↑↑ He is Far away From Hendo

passes-complete-png.427156

Who the hell is him??? ↑↑ Even Ngolo Kante is much better than him!!!

assist-png.427157

What about assist ↑↑ ?? He has 0.00000% of assist wich is equal to £85 million From Juventas!
While Coutinho has 4 assists which is equal to £8.5 million From Intermilan

Je hapo Nimemsifu Kuwa ni Bora? Hiyo ndiyo hoja ya hapa!!
Hapo nililinganisha tu kwa alichofanya ambacho tulitarajia Kifanywe na Pogba, lakini Sikusema Kuwa Hendo ni Bora Kuliko Pogba.

Ni Wazi hapo kuwa dhamira ni Kuwa "Hata Huyo Mbovu Hendo Hakumzidi"

Leteni wapi niliposema kuwa Hendo ni Mchezaji bora?[/QUOTE]
Bora ukae kimya hizi post ulizipost nyingi tukifukunyua utakimbia labda kama umeenda kuzifuta

Ukiandika pumba jitahidi kuwa na kumbukumbu,JF sio ya watoto wa chekechea jitahidi kuwa realistic sina muda wa kufukunyua pumba zako ziko nyingi last week umesema Liverpool akimtoa Porto anakutana na Inter ukaambiwa Inter hayupo UCL ukabadilisha(ratiba ya robo & nusu fainal haijapangwa) na ukatuambia Coutinho hawezi kuuzwa sababu mkataba wake hauna release clause

Kukosea Kuko na Nilichoandika Ni Probability huenda Nikapatia au Nikakosea inagawa percentage Kubwa ndivyo itakavyokuwa.

Nikipatia Sawa, Na Kama Sikupatia pia Sijakosea.

Sasa nilikushangaa wewe unaekosoa Probability!!!!!

Ukiandika pumba jitahidi kuwa na kumbukumbu,JF sio ya watoto wa chekechea jitahidi kuwa realistic sina muda wa kufukunyua pumba zako ziko nyingi last week umesema Liverpool akimtoa Porto anakutana na Inter ukaambiwa Inter hayupo UCL ukabadilisha(ratiba ya robo & nusu fainal haijapangwa) na ukatuambia Coutinho hawezi kuuzwa sababu mkataba wake hauna release clause

Ndiyo Nilisema Coutinho Hawezi Kuuzwa! Je, Pana Cha Kujadili hapo?
Kwani Washabiki Wa Man Unite Hawasemi De Gea Hauzwi? Je akiuzwa Watakuwa Wajinga?

Wenger Hakusema Kuwa Sanchez Hauzwi?
Je ni Mjinga?

Mshabiki Wa Chelsea Hawasemi Kuwa Hazard Hauzwi? Je akiuzwa watakuwa wajinga?

Hata Hao Matajiri wenyewe Wa Liverpool walisema Coutinho Hauzwi ije I we ajabu Kusema Mimi?

Hivi kuna Mshabiki anaesema Mchezaji wake anauzwa?

Acha Mipasho bhana tafuta mada za Kujadili na kukosoa sio Kila unachokiona Lazima ukisemee Hata kama hukijui ukweli wake.

Ukiandika pumba jitahidi kuwa na kumbukumbu,JF sio ya watoto wa chekechea jitahidi kuwa realistic sina muda wa kufukunyua pumba zako ziko nyingi last week umesema Liverpool akimtoa Porto anakutana na Inter ukaambiwa Inter hayupo UCL ukabadilisha(ratiba ya robo & nusu fainal haijapangwa) na ukatuambia Coutinho hawezi kuuzwa sababu mkataba wake hauna release clause

Mimi Nina Taaluma Yangu Kila Ninachokiandika Basi Ninaouwezo Wa Kukitetea na Kukisimamia Kama Ni hoja Hata kama wewe Kwa Weakness zako utaona kuwa ni Pumba.

Fukua Makaburi Mimi ninajiamini kutetea hoja yangu.

Mimi Ninazungumzia Stats (Reality Show)! Sizungumzii Honors za Kupigiwa Kura.

Hizo Kura zenu ndiyo Zinazomfanya [HASHTAG]#Buffon[/HASHTAG] akawa Kipa Bora na De Gea asiwe Bora Wakati Stats Zinaonesha Wazi Kuwa De Gea ndiye Kipa Bora Kwa Sasa Duniani.
Asubiri taji la EPL msimu huu kiumbe kinanyanyua

Ila mashabiki wa united akili zao hazina akili yaani pogba shoga unamfananisha na KDB kidume

Beki zenu zenyewe ni mashoga mfano Lindorf kajinga jinga tu

Back
Top Bottom