radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Wewe ni MWEHU...
Umeniambia nikutajie tuzo yoyote binafsi ambayo KDB amewahi kuchukua,nimekutajia lakini unaanza kuniletea habari tofauti tena...
Pia ukasema KDB ameanza kung'aa msimu huu,nimekupa data kuwa hauko sahihi bado unaniletea mapambio..!
Jinga sana..!
sasa ndo unaenda kuleta huo uchafu wa ujeruman mwenzie kaikalisha ulaya nzima mourinho akiacha utani huyo kdb ni takataka fikiria dogo miaka 22 kaikalisha ulaya bila kutolewa kwa mikopo mwenzio huyo
we toa lugha zote ila kufikia hapo ushakalishwa na vituzo uchwara hivyo umeanza ku slow down huyo anaenda miaka 28 kwanza pogba 24 kafanya ya maana achana na tuzo za huko juventus tuliza akili mdogo wangu