MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,693
- 21,765
Ila huyu shevley kifua chake si cha dunia hii,hivi huyu na Kante nani ana mapafu ya mbwa?
Ahahaaaah...Leo ushindi lazima
Ggmu.
Walimsifia dembele jana nafikiri leo waje kumpa sifa na huyu mtu aliyefunika mchezaji ghali wa paun 90m hahahaha jamani tuweni siriaz kidogo hivi kama pogba ana thamani ya euro 100m hivi huyu jonjo shervey si atavunja rekodi ya neymer!!!!!!!!!!JONJO Mtu baya
Uwiiiiiii!!! Mkuu usikumbushe zile nyakati nazo zilikuwa ngumu balaa kila nikikumbuka sijui tulivukaje, mi naona ugonjwa bado haujapata daktari bingwa,but tutafika tu panapotakiwa!! Lets keep moving...Enzi za Van Gaal timu ilikuwa inashambulia ujio wa Jose tunacheza mipira ya kuzuia zaidi bila mikakati
Wamekula kona.
Teh teh teh, ukimcheka mwenzio nawe unakaangwa.
Mi Arsenal, jana Manu walivamia kwetu kule ma kashfa.
Hahahaaaaaa, leo raha sana, Mnyama kashinda Manu kapigwa.
Jembe lilikuwepo, atakuwa anasema, TO HELL, NAPIGA HELA YANGU NDEFU TU.Wakuu Kwani Sanchez leo alikuwemo?
Back & Sideway passes utamfunga nani?! Hata mimi wamenipotezea muda wangu tu.
Mourinho hata awe na timu nzuri kiasi gani tangu akiwa chelsea akikutana na Newcastle ushindi lazima uwe mgumu kwakeHakuna cha history toka mech ya tot timu haichez kbsa.
Anapoteza Muda Mwingi Saloon kuliko Mazoezi
Ahahaaaaaaaaaaah...Hahaaaa mkuu sitaki kujua alinunuliwa kwa bei gani ila ninachojua bei yake haifikii ya pogba.
Kuna kitu kinamsumbua Pogba sio bure.
Ahahaaaah...
Eti ushindi lazima..!