Wapo shimoni kwa sasa wanataga hahahahhahahahahahha wanachungulia tu hapa then wanazamia kusikojulikanawachambuzi feki wa man u leteni mrejesho wa mechi ya leo kwanini mmeambulia kipigo
Naona unapovuka mkuu.....mimi sikukatazi itafahamika baadae mshamba nani kati ya mm au ww ila current issue ni
Manure 0 Magpies 1
Ukizingua natuma tena
Povu ruksa........hili la foma goldNaona mimba itaachia sasa baada ya kushikiliwa na manchester united unafuraha balaa mana uliambiwa utafanyiwa upasuaji ila kama newcstle wakishinda utajifungua salama
jamani njooni tumpongeze mwenzetu kanusulika kisu cha tumbo toka saa moja tunae humu
tuma kwani nakununuliwa mm bando weeee vipi
Jukwaa halina wenyewe hili jamani
Mkuu mbona game ya leo hujachambua au hamchambui mpaka mshinde?Naona mimba itaachia sasa baada ya kushikiliwa na manchester united unafuraha balaa mana uliambiwa utafanyiwa upasuaji ila kama newcstle wakishinda utajifungua salama
jamani njooni tumpongeze mwenzetu kanusulika kisu cha tumbo toka saa moja tunae humu
tuma kwani nakununuliwa mm bando weeee vipi
Povu ruksa........hili la foma gold
Mkuu mbona game ya leo hujachambua au hamchambui mpaka mshinde?
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaahah hawapendi wenyewe ohooooooo
Tulia mkuu dawa iingie......Twende wapi wewe sikumbuki kama hatujawah kufungwa hilo ni jambo la kawaida labda nyie mnaona sio kawaida ndo mana unahangaika hapa
Tulia mkuu dawa iingie......
Ila usijali bro huu ni utani wa kisoka tu nikutakie usiku mwema pumzika usije pata maruweruwe bure usiku...mana naona newcastle bado wapo akilini
Mkuu fuatilia comments zangu humu kuhusu Mourinho na watu walivyokuwa wananitukana.Kusema ukweli JM sijui anang'ang'ania nini na smalling + young * martial. Martial bado hajakua anazingua sana, kwanini young aanze wakati Shaw anapiga mpira mzuri sana na ndo natural left back?. Pacha ya smalling na jones haina nguvu kabisa smalling anakaba kama anacheza chandimu lakini JM ndo utamwambia nini akuelewe.
Mfumo wa JM mbovu sana, Lukaku anahangaika mipira haifiki ipasavyo, alafu kuna raia wanamlaumu striker kama Lukaku kweli? .Ninachoona JM anaonesha kiburi tu anajua kama fans wote wanataka Pogba acheze as free prayer tuone ukali wake ila yeye sasa anavyodefend maana ya box to box anajua mwenyewe, akiendelea hivi kiwango cha Pogba kitashuka sana yani anamlazimisha kufanya majukumu yanayomzidi kimo mfano angalia tukicheza na watabe au viungo mahiri. Leo Shev anakamata kiungo kama vile yupo mazoezi vile.
JM ana stress sana hata maamuzi yake ya ghafla ghafla anaweza akakaza kufanya sub tukipigwa goli anaita mchezaji wowote yule lazima joto la jiwe tulisome kama asipobadilika.
Tunasapoti timu katika kila khali lakini ukweli usemwe kuna watu wanatuangusha either direct or indirect:
1. JM
2. JM
3. JM
4. Smalling
5. Young
6 Martial kazidi utoto
Weka mata tucheze mpira Lingard anaruka ruka tu uwanjani kuna game anapotezwa kabisa.SIKU MBAYA SANA LEO, ANGALAU MNYAMA KAUNGURUMA TAIFA.
GGMU