Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna kitu Mourinho anakosea tena anakosea sana, timu hii si ya kufungwa na Huddersfield au Newcastle
Kumbukumbu zangu zinanionesha wewe ni miongoni mwa mashabiki walionivamia "nilipopaza" shingo kusema Mourinho ni shida pale Manchester united.


Nashukuru na wewe Leo unaanza kuona Bado yule bwana mdogo Radika
 
Kumbukumbu zangu zinanionesha wewe ni miongoni mwa mashabiki walionivamia "nilipopaza" shingo kusema Mourinho ni shida pale Manchester united.


Nashukuru na wewe Leo unaanza kuona Bado yule bwana mdogo Radika

hahahaha mkuu sio kila siku kocha anazingua ila kuna siku tunanchana kama leo timu kama newcstle unazuiaje? shambulia mwanzo mwisho 4231 ni mfumo wa woga huo leo alitakiwa kucheza 433 pogba tokea kushoto kule leo kanikera
 
Atalaumiwa kwa selection yake mbovu ya first eleven. Umeona baada ya kina Mata kuingia walivyopiga mpira mkubwa? Narudia tena na mnitukane tena. "HAKUNA MECHI ATAANZA MARTIAL UKASHINDA"
Acha ushabiki mavi mkuu..kwanza martial katoka kuwa mchezaji bora wa mwezi uliopita na pia mchango wake kwa mwezi january ulikuwa mzuri sana..naona kila kitu ul unampa lawama martial,ni kweli amekopoteza clear chansi ila leo hatukutengeneza nafasi nyingi za goli..wachezaji wamecheza chini ya kiwango,ila pogba amezidi kabisa,na tambua kiungo ndo kila kitu...all in all bado martial ni mchezaji mzuri ambaye timu ikiwa kwenye peak,na yeye pia anaperform vizuri..hizi critics zako juu ya martial nadiriki kuziita ni za kipumbavu.
 
dcf9703526c81e81f81ccad3599a2b66.jpg
hahahahaa
 
ushwahi kumuona akiingia top 20 ya ballon d'or au ana tuzo gani binafsi?
Ndio maana nasemaga wewe ni KIAZI...
Msimu wa 2014-15 KDB akiwa Wolfsburg alishinda tuzo ya mchezaji bora wa bundesliga akiwagaragaza watu kama Robben,Aubameyang,Thomas Muller,Lewandowski na Ribery..!
Msimu huo KDB alipiga assists nyingi kuliko mchezaji yeyote katika ligi tano bora za ulaya...
Ila sikulaumu sana,huenda ulikua bado haujaanza kuangalia mpira kipindi hicho au ulikua unaangalia mechi za Manure United pekee...


KUMBUKA: Usimfananishe KDB na upuuzi..!

images.jpg
download.jpg
 
Kwani lazima wawe wanashinda kila mechi? Ukiwa shabiki inabidi uwe mvumilivu. Huku kwetu kina Mbao wanajipigia Yanga na hakuna anayeisusa.
 
Acha kumfananisha KDB na ushubwada
Mwaka jana alikuwa xhaka zilipigwa ngojera hapa kumbe nyie wa kdb mnausoma mchezo sasa na nyie zamu yenu sijui mwakan ataibuka nani pogba anatabu sana pia inaweza kuwa rangi yake inamponza mweusi kumkubali mweusi hadi maji yafike shingoni.
 
Back
Top Bottom