Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wakuu hivi mnaonaje tusiwe tunawajibu hawa jamaa wanaotoka kwny majukwaa yao then wanakuja kutukana na kupigia kelele humu.!? Maana tunavyowajibu ndo wanazidi kuvimba vichwa pumba hawa..
 
GGMU
 
Attachments

  • IMG_20180211_161516.jpg
    IMG_20180211_161516.jpg
    46.8 KB · Views: 19
Wakuu tupo uwanjani na hawa vijana wa newcastle,mda sio mrefu tunakipiga..hivi mourinho atawapanga vipi sanchez na martial ili kuweza kuwaaccomodate kwenye first eleven??
 
Wakuu hivi mnaonaje tusiwe tunawajibu hawa jamaa wanaotoka kwny majukwaa yao then wanakuja kutukana na kupigia kelele humu.!? Maana tunavyowajibu ndo wanazidi kuvimba vichwa pumba hawa..
Muwekee kwenye ignore list, hutaona pumba zake na hata ona posts zako. Ndio ninachowafanya wajinga kama hao.
 
Watoto malimbukeni sana hawa mwaka huu wameibuka wengi kama huyo mchezaji ndo msimu wake wa kwanza.
Dawa ni kuwapuuza tu kibaya zaidi wanaingiza na matusi makuzi ni kitu muhimu sana ukizoea kuwaza machafu kuacha ngumu sana.
 
Yaani Martial anamuweka Mata nje??? Maajabu dunia hii hayataisha.
 
Wakuu tupo uwanjani na hawa vijana wa newcastle,mda sio mrefu tunakipiga..hivi mourinho atawapanga vipi sanchez na martial ili kuweza kuwaaccomodate kwenye first eleven??
Sometimes inabidi upange kikosi umalize mechi mapema
 
Back
Top Bottom