DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Na nia yangu ilikuwa nikukurupue huko shimoni ulipojificha hahahahahahaha maana kwa comment hii nilijua tu mtakuja haiwezekani mtususie majamvi eeeeboooohNa wewe ni wa wapi? Unakurupuka tu.
Na nia yangu ilikuwa nikukurupue huko shimoni ulipojificha hahahahahahaha maana kwa comment hii nilijua tu mtakuja haiwezekani mtususie majamvi eeeeboooohNa wewe ni wa wapi? Unakurupuka tu.
Sawa wewe wa 6 kwwnye ligi na haupo UEFA ndio mzuri, tumekuelewa. Ficha upumbavu wako kwa kukaa kimya.Man united ni team mbovu mno ila mashabiki wake waimba taarabu tu
Kwahiyo unaifananisha spurs na newcastle hivi hata kwa akili za kawaida tu huoni tofauti hivi spurs alikufumua ngapi mkuu,????? Ndo ujue wewe mtepeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kama boflo huna timu ni ushubwada mtupu yaani kama mkusanyiko wa wahuni fulani hivi hahahahahaha samahani lakiniAcha ujinga wa kijinga na wewe. Man U kapiga mpira mkubwa sana. Sio ule wa Wenger jana kakimbizwa mwanzo mwisho. Uwe unajitahidi kuangalia hata statistics baada ya mchezo.
Wewe mpaka unashiriki UEFA kwenye ligi ulishika namba ngapi? Msiwe mabingwa wa kujisahaulisha manyungunyungu unitedSawa wewe wa 6 kwwnye ligi na haupo UEFA ndio mzuri, tumekuelewa. Ficha upumbavu wako kwa kukaa kimya.
Hilo utajua wewe shauri yako mm ninachojua ni mumekalia cha nguruwe leokazi unayo umeanza kujua mpira karibuni nini?
Uko sawa kabisa.mkuu lukaku utamuona kwa mfumo wa striker moja mbele ipo shida ni kocha kunadili mfumo tu nlikuwa namuona diego costa akifit kwenye huo mfumo wa striker mmoja mbele sasa lukaku kutuliza mpira shida kupiga chenga shida bado umsimamishe peke yake mbele ni ngumu huo mfumo ni wa complete striker angalau kwa pale england namuona kun aguero huo mfumo anacheza.
Huyo ana chuki zake na Martial tunamjua vizuri angekua yupo kule UK tungesema Martial kamchukulia anamsaidia mkewe maana anamchukia sana asee bila sababu.Acha ushabiki mavi mkuu..kwanza martial katoka kuwa mchezaji bora wa mwezi uliopita na pia mchango wake kwa mwezi january ulikuwa mzuri sana..naona kila kitu ul unampa lawama martial,ni kweli amekopoteza clear chansi ila leo hatukutengeneza nafasi nyingi za goli..wachezaji wamecheza chini ya kiwango,ila pogba amezidi kabisa,na tambua kiungo ndo kila kitu...all in all bado martial ni mchezaji mzuri ambaye timu ikiwa kwenye peak,na yeye pia anaperform vizuri..hizi critics zako juu ya martial nadiriki kuziita ni za kipumbavu.
Dada nakuomba PM.Nisivyolipenda hili litimu afadhali, shikamoo Newcastle. Kutatulia tuliii.....
Hilo utajua wewe shauri yako mm ninachojua ni mumekalia cha nguruwe leo
Tunashare blood group nafikiriNisivyolipenda hili litimu afadhali, shikamoo Newcastle. Kutatulia tuliii.....
Kuna kitu Mou anakosea. Tunaweza tusiwe na timu nzuri ya kumfunga City,Spurs au PSG ila timu hii haiwezi kufungwa na Huddersfield,Newcastle.
Pogba kasusa kucheza mpira,Martial doesnt care. Kuna kitu zaidi ya football uwanjani.
Dah mkuu umeongea kwa uchungu sana hizi timu sio za kutufunga kabisa yani ni aibu.Conte huyu wa Goli 7 mechi mbili au mwingine??? IHAMNA JIPYA NYINYI MMESHAFILISIKA MBINU ..KITU AMBACHO MSICHOTAKA KUKIKUBALI NIKUWA MAKOCHA WENU WOTE AMBAO WAMEKUWA WAKIIFNDISHA TEAM YENU TANGU KUONDOKA KWA FERGIE NIMAKOCHA AMBAO TAYARI WAMESHAANZA KUTENGWA NA WAKATI HUU WA SOKA LA KISASA
MBINU ZINAZO TUMIKA SASA NI MBINU BORA MNOO .NAHILO LINACHAGIZWA NA UJIO WA GENERATION YA MAKOCHA WAPYA WANAOTIKISA KWA SASA ...KAMA PORCHETINO.GUARDIOLA DIEGO SIMION ZIDANE NA KINA CONTE ..

Naona unapovuka mkuu.....mimi sikukatazi itafahamika baadae mshamba nani kati ya mm au ww ila current issue niPunguza ushamba dogo kuna msimu ushawah kusikia hii timu haijafungwa?
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaahah hawapendi wenyewe ohooooooo