Hizi PUMBA zote ulizoandika hazina maana...Huyu jamaa huwa ananifurahisha sana, ni moja ya watu wanaoendeshwa kwa matukio na mihemko mno. Huwa napitia posts zake kuna kipindi alikua kwenye kila post ana mdisi Klopp hadi wakawa wanatofautiana na malafyale, alipokuja Mosdef kaweka hisia zake juu ya Klopp na FSG jamaa alifanya turnaround moja ya hatari kama si yeye aliekua anamtukana Klopp.
Kelvin msimu huu ndio unaweza ukawa ndio the best season kwake ever, kama ilivo kwa salah, kama ilivokua kwa mane last season (kuna viumbe walifikia kumfananisha na hazard), kama ilivokua kwa mahrez msimu ule wanachukua ubingwa, kuna dogo anaitwa Asensio msimu uliopita kila akigusa mpira kama sio kufunga basi ana assist, mashabiki wa madrid waka m-hype to the maximum.
Pogba kipaji chake kilishaonekana tangu mdogo anashinda Golden boy, FIFA U-17 world cup Golden boy na amekua akichukua tuzo since then wakati the best moments kwa kelvin ni kua top assist provider na kuwa kwenye pro XI 3rd team.
Kuna kitu kinamsumbua Pogba sio bure.
Goal hilo lilikuwa na makosa mengi sana. Kwanza stupid foul by Smalling,pili wachezaji wote wanafuata mpira bila kuangalia wanamkaba nani, tatu Valencia aliamua kusimama tu na kuangalia movie.Mlimtukuza sana amejiona ni mchezaj wa kiwango cha juu. Ona goal tunavyofungwa unamuacha mchezaji wa upinzani anaruka juu bila ya kumkaba .
Wamfungulie salon tu sasaMlimtukuza sana amejiona ni mchezaj wa kiwango cha juu. Ona goal tunavyofungwa unamuacha mchezaji wa upinzani anaruka juu bila ya kumkaba .
Lakini muangalie Pogba yule anayepiga kichwa anavyomuachiaGoal hilo lilikuwa na makosa mengi sana. Kwanza stupid foul by Smalling,pili wachezaji wote wanafuata mpira bila kuangalia wanamkaba nani, tatu Valencia aliamua kusimama tu na kuangalia movie.
Hahah!! Mwana kaandika makala ndefu kimsifia mcheza vidukuHizi PUMBA zote ulizoandika hazina maana...
Jambo la msingi ni "usimfananishe Kelvin De Bruyne na upuuzi"
Kama unataka kumu-isolate Pogba siwezi kukuzuia,ila hilo goli ni collective failure.Lakini muangalie Pogba yule anayepiga kichwa anavyomuachia