Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huyu jamaa huwa ananifurahisha sana, ni moja ya watu wanaoendeshwa kwa matukio na mihemko mno. Huwa napitia posts zake kuna kipindi alikua kwenye kila post ana mdisi Klopp hadi wakawa wanatofautiana na malafyale, alipokuja Mosdef kaweka hisia zake juu ya Klopp na FSG jamaa alifanya turnaround moja ya hatari kama si yeye aliekua anamtukana Klopp.

Kelvin msimu huu ndio unaweza ukawa ndio the best season kwake ever, kama ilivo kwa salah, kama ilivokua kwa mane last season (kuna viumbe walifikia kumfananisha na hazard), kama ilivokua kwa mahrez msimu ule wanachukua ubingwa, kuna dogo anaitwa Asensio msimu uliopita kila akigusa mpira kama sio kufunga basi ana assist, mashabiki wa madrid waka m-hype to the maximum.

Pogba kipaji chake kilishaonekana tangu mdogo anashinda Golden boy, FIFA U-17 world cup Golden boy na amekua akichukua tuzo since then wakati the best moments kwa kelvin ni kua top assist provider na kuwa kwenye pro XI 3rd team.

Sio Kweli unayosema! Kuhusu Klopp Mpaka Leo Ninamjadili na Kumlaumu! Go kaangalie Posts zangu za Wiki Hii nilivyoandika Matizo ya Kulopp pale nilipomreply malafyale!

Nilichochange ni Kuhusu kauli yangu ya [HASHTAG]#Kloppout[/HASHTAG] tu!
Tena ni kwa sababu 2

1) Kwanza Kuhusu sakata la kuuzwa Coutinho: Hii ni kutokana na Klopp kuresist lakini FSG wakaingiwa na uroho Wa hela wakaamua Kumuuza.

2) Akiondoka yeye atatafutwa Kocha Mbovu Zaidi kutoka Midtable team.

Kwahiyo Mimi sikosoi Ufundi Wa Klopp tokea awali Bali ninakosoa Sera zake na Nitaendelea Kukosoa. Jaribu kuwa Mkweli.

So, sasa sijui umekusudia kudanganya Nini na kwa Nani!

Ahsante kwa data zako, naomba tuwekee na individual honors za kelvin then nitakuwekea za pogba.

Am waiting

Mimi Ninazungumzia Stats (Reality Show)! Sizungumzii Honors za Kupigiwa Kura.

Hizo Kura zenu ndiyo Zinazomfanya [HASHTAG]#Buffon[/HASHTAG] akawa Kipa Bora na De Gea asiwe Bora Wakati Stats Zinaonesha Wazi Kuwa De Gea ndiye Kipa Bora Kwa Sasa Duniani.

Hahaaaa mkuu sitaki kujua alinunuliwa kwa bei gani ila ninachojua bei yake haifikii ya pogba.
Ni kweli haifikii ya Pogba. Lakini saiv ukiwaweka sokoni uonavyo, nani anaweza kuw nabei kubwa?

Mimi Ninazungumzia Stats (Reality Show)! Sizungumzii Honors za Kupigiwa Kura.

Hizo Kura zenu ndiyo Zinazomfanya [HASHTAG]#Buffon[/HASHTAG] akawa Kipa Bora na De Gea asiwe Bora Wakati Stats Zinaonesha Wazi Kuwa De Gea ndiye Kipa Bora Kwa Sasa Duniani.
Sometimes you better keep quiet man hutapungukiwa kitu, Wilfred Ndidi ana magoli mengi kumzidi Luka modric

Hivi unajua Ibe ana assist nyingi kuliko mane?

Huyu jamaa huwa ananifurahisha sana, ni moja ya watu wanaoendeshwa kwa matukio na mihemko mno. Huwa napitia posts zake kuna kipindi alikua kwenye kila post ana mdisi Klopp hadi wakawa wanatofautiana na malafyale, alipokuja Mosdef kaweka hisia zake juu ya Klopp na FSG jamaa alifanya turnaround moja ya hatari kama si yeye aliekua anamtukana Klopp.

Kelvin msimu huu ndio unaweza ukawa ndio the best season kwake ever, kama ilivo kwa salah, kama ilivokua kwa mane last season (kuna viumbe walifikia kumfananisha na hazard), kama ilivokua kwa mahrez msimu ule wanachukua ubingwa, kuna dogo anaitwa Asensio msimu uliopita kila akigusa mpira kama sio kufunga basi ana assist, mashabiki wa madrid waka m-hype to the maximum.

Pogba kipaji chake kilishaonekana tangu mdogo anashinda Golden boy, FIFA U-17 world cup Golden boy na amekua akichukua tuzo since then wakati the best moments kwa kelvin ni kua top assist provider na kuwa kwenye pro XI 3rd team.
Mkuu tuache unazi jamani KDB ni hatari, tuwe wawazi

Sometimes you better keep quiet man hutapungukiwa kitu, Wilfred Ndidi ana magoli mengi kumzidi Luka modric

Hivi unajua Ibe ana assist nyingi kuliko mane?
We jamaa ni karatasi kichwani

Sometimes you better keep quiet man hutapungukiwa kitu, Wilfred Ndidi ana magoli mengi kumzidi Luka modric

Hivi unajua Ibe ana assist nyingi kuliko mane?
Ndo mana nimekaa kimya

Nakumbuka arsenal walipomnunua Xhaka walikimbilia kumlinganisha pogba kwa sasa kimya hata hao liverpool aliwekwa jordan henderson na allen wa stoke city kwamba ni bora kwa pogba wako wapi?

Jaman pogba ni kocha tu akitafuta kiungo wa kumfanya awe huru hizi kelele zitasepa

Wanaoujua mpira nafikir walimuona akiwa juve kaingia kwenye kikos bora cha fifa mara mbili mfululizo akiwa na miaka 23 tu tena wachezaj 11 sisi wa tanzania bado sana tunaongozwa na chuki sio uhalisia wa jambo suala la muda tu

Jamaa kahamia kwa kdb baada ya viungo wa liverpool kusepa

Kwa sasa KDB anafanya vizur sana.

Nashukur kwa kuweka takwimu za kila mchezaj alielipuka msimu mmoja mmoja

Pumba ni kawaida yake nakumbuka alisema Coutinho hawezi kuuzwa eti mkataba wake hauna release clause na juzi kasema eti ratiba ya robo na nusu fainali ya Champions League imeshapangwa

One year ago today, United beat Watford 2-0 to become the first team to reach 2️⃣0️⃣0️⃣0️⃣ points in the Premier League...
FB_IMG_1518328529721.jpg

Yaani Nyie Pogba-Fanboys Mutasubiri Sana Kwa Boya Wenu Huyo!!

View attachment 427153

In Case of Touches ↑↑ He is Far away From Hendo

View attachment 427156

Who the hell is him??? ↑↑ Even Ngolo Kante is much better than him!!!

View attachment 427157

What about assist ↑↑ ?? He has 0.00000% of assist wich is equal to £85 million From Juventas!
While Coutinho has 4 assists which is equal to £8.5 million From Intermilan
Hapa nani alikuwa anapost hizi pumba again nenda facebook ndio utawadanganya

[quote uid=236740 name="ze-dudu" post=18279228]Teampogba nipo
Mnaomkataa huyu jamaa mtamuelewa tu mi sijawahi kumkatia tamaa labda baada ya misimu mitatu kuanzia sasa ndio nitaanza kuona tulipigwa

28bceabe0129799990a480962e905b8e.jpg
[/QUOTE]

Yaani Nyie Pogba-Fanboys Mutasubiri Sana Kwa Boya Wenu Huyo!!

touches-png.427153

In Case of Touches ↑↑ He is Far away From Hendo

passes-complete-png.427156

Who the hell is him??? ↑↑ Even Ngolo Kante is much better than him!!!

assist-png.427157

What about assist ↑↑ ?? He has 0.00000% of assist wich is equal to £85 million From Juventas!
While Coutinho has 4 assists which is equal to £8.5 million From Intermilan

Ndo mana nimekaa kimya

Nakumbuka arsenal walipomnunua Xhaka walikimbilia kumlinganisha pogba kwa sasa kimya hata hao liverpool aliwekwa jordan henderson na allen wa stoke city kwamba ni bora kwa pogba wako wapi?

Jaman pogba ni kocha tu akitafuta kiungo wa kumfanya awe huru hizi kelele zitasepa

Wanaoujua mpira nafikir walimuona akiwa juve kaingia kwenye kikos bora cha fifa mara mbili mfululizo akiwa na miaka 23 tu tena wachezaj 11 sisi wa tanzania bado sana tunaongozwa na chuki sio uhalisia wa jambo suala la muda tu

Jamaa kahamia kwa kdb baada ya viungo wa liverpool kusepa

Kwa sasa KDB anafanya vizur sana.

Nashukur kwa kuweka takwimu za kila mchezaj alielipuka msimu mmoja mmoja
Naona taratiiiiiiiiiiibu unaanza kuona tatizo la kocha

Back
Top Bottom