ARV
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 5,528
- 7,923
Mkuu hujaelewa Matic kacheza mechi karibia zote, Carrick nadhani kacheza mechi moja tu toka msimu uanze. Sasa nani hapi katumika sana?Kati ya carric na matic nani katumika sana?
Mkuu hujaelewa Matic kacheza mechi karibia zote, Carrick nadhani kacheza mechi moja tu toka msimu uanze. Sasa nani hapi katumika sana?Kati ya carric na matic nani katumika sana?
Nilichojifunza mechi ya leo
Nemanja Matic amechoka sana mara baada ya kutumika kwa muda mrefu hivyo ni wakati wa kumpa nafasi na Carrick.
Ashley Young apumzishwe na nafasi yake apewe Luke Shaw natural left back.
Chris Smalling anachezaje wakati mtu kama Marcos Rojo mzima
Man Utd chini ya Jose bado tupo maili nyingi sana kuufikia ubingwa wa EPL.
Huwa nikiongea hii kauli kuna wafia team humu Wananitukana siku nzimaTunafukua makaburiHuyo kocha fala sana nilifatilia pia alichokihoji Scholes, na aliongea pointi tupu. Moja vitu alivyohoji ni hivi ''ukimwangalia pogba anavyocheza si matarajio ya wengi, yuko wapi pogba Wa Juventus? Yuko wapi pogba aliyekuwa anapatikana uwanja mzima? Yuko wapi pogba aliyekuwa anatoa pasi za mwisho na kufunga magoli umbali Wa mita 25? Yuko wapi pogba aliyekuwa anapangua ngome za wapinzani? Huyu pogba Wa sasa angalau angecheza hata nusu tu ya yule Wa Juventus''. Sioni alichokosea scholes na Mournho asitafute huruma kwa watu kwa kukosoa vitu vya msingi kutoka kwa watu wenye uchungu na hii timu manake wanaumia sana wanapoona vijana walonunuliwa kwa bei ghali hawapo tayari kufia timu wakati timu IPO ktk hali isiyoridhisha.
Asante sana ndugu kwa kulikumbuka hili. Inaumiza mno ukiangalia Pogba ana shine sana akicheza na timu ndogo,hizi kubwa nyingi hawezi. Na ndo matatizo yanapoanzia kwa timu kwa sababu yeye ndio roho ya timu na akizingua yeye ndio chanzo cha kwanza kwa timu kufanya hovyo. Angalau Jana mtetezi wake kaliona hilo na hakutaka kulifumbia machoTunafukua makaburi
Leo nafukua makaburi ya mashabiki wa team hii wenye uwezo Mkubwa wa kufikiriSiku hiz hata sipotez muda wng kuangalia manchester united, nimeshajua Morinho kaishiwa na hana jipya, hata kama ataletewa messi, ronaldo, neymar, mbape na kila aina ya star, hakuna kitakachobadilika
Zama zake zimeisha na hana mbinu yyte ya kututoa tulipo.
Poleni mashabiki wenzangu, endeleeni kuinga mkono timu yetu lkn bora mujiandae kisaijolojia ili isije ikawaletea madhara, nawatakia ushabiki mwema
Teh teh teh!!Ukitoa Manchester United timu ingine inayonipa burudani ni Arsenal aka The Gunners......!
Ndio nimesema hivyo, labda wewe kama una nawazo tofauti niambie.Mkuu kwani aliyetakiwa kumsaidia Young kukaba ni Sanchez?..kwa formation ya leo sema ni nani alikuwa hashuki kukaba?
Yuropa League mwakani ni yenu
Man City
Liverpool
Totenham
Chelsea
Who wana bet?
Jana alikuwa hovyo sana, sijui nini kinamsibu. 2/10Kwa mara ya kwanza namuona Pogba anapigwa benchi.
Asante sana ndugu kwa kulikumbuka hili. Inaumiza mno ukiangalia Pogba ana shine sana akicheza na timu ndogo,hizi kubwa nyingi hawezi. Na ndo matatizo yanapoanzia kwa timu kwa sababu yeye ndio roho ya timu na akizingua yeye ndio chanzo cha kwanza kwa timu kufanya hovyo. Angalau Jana mtetezi wake kaliona hilo na hakutaka kulifumbia macho
Sent from my Infinix NOTE 3 Pro using JamiiForums mobile app

Arsenal wana timu bora, tatizo kocha.Ahahaaaaaaaaaaah...
Hivi nyie watu sijui mnafikiriaga kwa kutumia kitu gani..!
Yaani kwa combination ya wachezaji kama Lingard,Martial,Pogba na Lukaku bado unaamini una timu bora..!?
Ahahaaaah...
Ajabu..!
Pogba anafunika wakicheza na timu kama West Brom, Bournemouth etc.Ule ubishi wa nan zaid kati ya pogba na kelvin debruine bado upo vijiweni?
Huyu pogba wanampa sifa zilizomzidi uwezoUle ubishi wa nan zaid kati ya pogba na kelvin debruine bado upo vijiweni?
Salute kwako mkuu, wengne tukisema tunaambiwa ni mashabiki maandaz ndo mana tumeamua kubaki kimya, hua tunapita kuchungulia tu lkn hatutii neno maana hatumbendi malumbanoLeo nafukua makaburi ya mashabiki wa team hii wenye uwezo Mkubwa wa kufikiri