Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Paul Pogba amekuwa mara kadhaa akisemwa sana juu ya uwezo wake kulinganisha na bei aliyonunuliwa... lakini kwa mujibu wa takwimu, Pogba ni mmoja wa wachezaji muhimu zaidi katika kikosi cha Jose Mourinho.
Labile hajapotea mchezo hata mmoja wa ligi katika mechi 34 za Man United ambazo alicheza, katika mechi hizo, 21 ziliisha kwa ushindi, na sare 13.
Mara ya mwisho Pogba kuwemo katika kikosi cha United ambacho kilifungwa katika ligi.... ilikuwa katika mchezo dhidi ya Chelse mnamo Oktober 2016.
Tangu wakati Oktober 2016 United imepoteza mechi 5 za ligi - na zote Pogba hakucheza.
 
Huyo kocha fala sana nilifatilia pia alichokihoji Scholes, na aliongea pointi tupu. Moja vitu alivyohoji ni hivi ''ukimwangalia pogba anavyocheza si matarajio ya wengi, yuko wapi pogba Wa Juventus? Yuko wapi pogba aliyekuwa anapatikana uwanja mzima? Yuko wapi pogba aliyekuwa anatoa pasi za mwisho na kufunga magoli umbali Wa mita 25? Yuko wapi pogba aliyekuwa anapangua ngome za wapinzani? Huyu pogba Wa sasa angalau angecheza hata nusu tu ya yule Wa Juventus''. Sioni alichokosea scholes na Mournho asitafute huruma kwa watu kwa kukosoa vitu vya msingi kutoka kwa watu wenye uchungu na hii timu manake wanaumia sana wanapoona vijana walonunuliwa kwa bei ghali hawapo tayari kufia timu wakati timu IPO ktk hali isiyoridhisha.
 
Manchester United chief Ed Woodward has told Mourinho that he will either have to sell players first or wait until the summer to sign players
 
Huyo kocha fala sana nilifatilia pia alichokihoji Scholes, na aliongea pointi tupu. Moja vitu alivyohoji ni hivi ''ukimwangalia pogba anavyocheza si matarajio ya wengi, yuko wapi pogba Wa Juventus? Yuko wapi pogba aliyekuwa anapatikana uwanja mzima? Yuko wapi pogba aliyekuwa anatoa pasi za mwisho na kufunga magoli umbali Wa mita 25? Yuko wapi pogba aliyekuwa anapangua ngome za wapinzani? Huyu pogba Wa sasa angalau angecheza hata nusu tu ya yule Wa Juventus''. Sioni alichokosea scholes na Mournho asitafute huruma kwa watu kwa kukosoa vitu vya msingi kutoka kwa watu wenye uchungu na hii timu manake wanaumia sana wanapoona vijana walonunuliwa kwa bei ghali hawapo tayari kufia timu wakati timu IPO ktk hali isiyoridhisha.

wanaongea sana nao kwani beckham,cole,yorke na wakina soskjier hawaipend timu? kamnyoosha sana scholes muda wote kuwaponda tu wachezaj na kocha hata van gaal kuna muda walimpoteza uelekeo kampiga nyundo moja ya kichwa pwaaa

wamuulize maradona na ujuaji wake kaishia wap alipopewa timu au gary nevile

wakimbiwa wakaifundishe swansea city haina kocha wanalala mbele
 
Nani kakwambia kina Cole na York hawaikosoi timu au kuisifia inapofanya vema? Unadhani scholes hajawahi kuisifia timu inapofanya vema? Pengine uchungu anaoupata Paul si kama Wa York,ole gunar na Cole kwa sababu wale ni foreigners wakati yeye ni mzawa aliyekulia palepale,Beckham anaipenda sana Man U ila hajajikita ktk uchambuzi. Ukitaka kujua scholes ana uzalendo na hii klabu soma hyo chini na kama unaipenda man u utaguswa na hicho alichokijibu Paul ukihusisha na malalamishi yake. Ni nadra sana kwa mchezaji kusema hicho kitu tena kwa klabu kubwa kama inter. Jamaa anakosoa kwa uchungu na timu wala si wivu kama Mourinho anavyowahadaa.
 
Attachments

  • tapatalk_1514894081705.jpeg
    tapatalk_1514894081705.jpeg
    29.5 KB · Views: 28
Nani kakwambia kina Cole na York hawaikosoi timu au kuisifia inapofanya vema? Unadhani scholes hajawahi kuisifia timu inapofanya vema? Pengine uchungu anaoupata Paul si kama Wa York,ole gunar na Cole kwa sababu wale ni foreigners wakati yeye ni mzawa aliyekulia palepale,Beckham anaipenda sana Man U ila hajajikita ktk uchambuzi. Ukitaka kujua scholes ana uzalendo na hii klabu soma hyo chini na kama unaipenda man u utaguswa na hicho alichokijibu Paul ukihusisha na malalamishi yake. Ni nadra sana kwa mchezaji kusema hicho kitu tena kwa klabu kubwa kama inter. Jamaa anakosoa kwa uchungu na timu wala si wivu kama Mourinho anavyowahadaa.

hakuna mahali tumezungumzia scholes hana uzelendo uzalendo wao umepitiliza kuna muda wakae kimya tu huwezi kumlazimisha darmian acheze kama marcelo

ninachofurah mourinho kampa nyundo ya kichwa tu pwaaa giggs kaongea fact usajili uliofanywa na van gal + moyes ndio unaoitesa timu sawa mourinho kuna muda mbinu zake mbaya ila kajitahid hata kutushikiza top 4

hawa class of 92 ni kuponda tu next time ataacha kuparamia kazi za watu na yy aende kule akafundishe vijana mbona nick butt yupo kimya kwamba sio mzalendo?
 
Kocha akilaumu wachezaji wakicheza chini ya kiwango wanasema Mourinho anagombana na wachezaji ndio maana wanacheza chini ya kiwango,kocha akiwatetea wachezaji wake hao hao mashabiki wanamlaumu
Pia akiongea shida. Akikaa kimya kaishiwa.

Nafikiri Mourinho ajikite kupandisha timu zilizokata tamaa kama alivyofanya kwa Chelsea hapo nyuma. Hizi zenye misifa zina chonga sana.

Kwa mfano aende Newcastle kama wana mpunga. Hizi timu za wazawa wa midomo ni tabu tupu.

Mfano akienda arsenal au liverpool atawaletea mafanikio sana japo walivyo na midomo nao ni balaa.
 
hakuna mahali tumezungumzia scholes hana uzelendo uzalendo wao umepitiliza kuna muda wakae kimya tu huwezi kumlazimisha darmian acheze kama marcelo

ninachofurah mourinho kampa nyundo ya kichwa tu pwaaa giggs kaongea fact usajili uliofanywa na van gal + moyes ndio unaoitesa timu sawa mourinho kuna muda mbinu zake mbaya ila kajitahid hata kutushikiza top 4

hawa class of 92 ni kuponda tu next time ataacha kuparamia kazi za watu na yy aende kule akafundishe vijana mbona nick butt yupo kimya kwamba sio mzalendo?
Huyo ni mzungu ndugu yangu maswala ya nyundo na facts ni vitu tofauti. Nnavyoamini jamaa kwenye ukweli ataongea tu nami pia naomba jamaa kwenye ukweli aongee tu.
 
Unaamini sana ngozi nyeupe ee mbona yapo mabwege kama JOE BURTON ataendelea kushushiwa nyundo ponda kabisa hao mourinho pwaaa wasikuyumbishe kama van gaal wakaoneshe maajabu swansea huko kama wanaweza kuwa makocha

tushachoka kila kitu kuponda tu hadi wachezaj wanapoteza fom yao
 
Kwani Mourinho ameongea uongo kuhusu Scholes ?
 
Unaamini sana ngozi nyeupe ee mbona yapo mabwege kama JOE BURTON ataendelea kushushiwa nyundo ponda kabisa hao mourinho pwaaa wasikuyumbishe kama van gaal wakaoneshe maajabu swansea huko kama wanaweza kuwa makocha

tushachoka kila kitu kuponda tu hadi wachezaj wanapoteza fom yao
Ndugu unaamini wachezaji wanakosa form kwa maneno ya scholes? Vipi yeye mou anayewaongea wachezaji vibaya hadharani?
 
kidunula1 na radika

Hebu acheni ligi ndogo....najua wote lengo lenu moja Man U ifanye vizuri mnapishana tu mitazamano.

Tufurahi na kujiliwaza pamoja pasipo mpambano.

New topic kwenu......
Nasikia kuna fununu cr7 anaweza timba maskani, tutatisha!
 
sawa ndugu kwa mawazo chanya. Hizo tetesi nimeziona kwa mbali,ila nimeona wanamzungumzia pia Lucas Moura Wa PSG. Ila naamini hata yule kijana tukimpata itakuwa ni addition nzuri sababu ana kasi na ujuzi mzuri pia. CR7 huwa simuamini hadi nione amekuja manake karibia kila msimu huwa anatingisha kiberiti ili aongezewe mkwanja pale Real.
 
Hizo tetesi nimeziona kwa mbali,ila nimeona wanamzungumzia pia Lucas Moura Wa PSG. Ila naamini hata yule kijana tukimpata itakuwa ni addition nzuri sababu ana kasi na ujuzi mzuri pia. CR7 huwa simuamini hadi nione amekuja manake karibia kila msimu huwa anatingisha kiberiti ili aongezewe mkwanja pale Real.

Kuna siku lakini itakuja kuwa kweli hasa this time.
 
wanaongea sana nao kwani beckham,cole,yorke na wakina soskjier hawaipend timu? kamnyoosha sana scholes muda wote kuwaponda tu wachezaj na kocha hata van gaal kuna muda walimpoteza uelekeo kampiga nyundo moja ya kichwa pwaaa

wamuulize maradona na ujuaji wake kaishia wap alipopewa timu au gary nevile

wakimbiwa wakaifundishe swansea city haina kocha wanalala mbele
Acha ujinga wewe kama vitu hujui kama kimya , Paul scholes ni muajiriwa wa kituo cha television cha BT sport pale England kama Football pundit ,sasa asiongee . Kuongea ndio kazi yake , Same To Rio Ferdinand na Lampard...

Huwa husikii anavyoongea Thiery Henry pale Sky sport....

Hao uliowataja wapo kimya kwa sababu hawafanyanyi kazi za uchambuz wa mpira.

Nevile yupo Pia Sky Sport, hizo ndio kazi zao hawarembeshi.
 
Back
Top Bottom