Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,726
SanaVipi..?
Wameshakufurahisha..!?
SanaVipi..?
Wameshakufurahisha..!?
Pole jirani.Toka niwe shabiki wa hii timu leo hata mbao wangetunyoosha tushukur Mungu hatujapigwa tatu mzuka kama jirani
Huyu pogba wanampa sifa zilizomzidi uwezo
Tote top 4Yuropa League mwakani ni yenu
Man City
Liverpool
Totenham
Chelsea
Who wana bet?





kisa kashinda jana sipingi mawazo yako ila nasubiri niyaone hayo kama yatatokeaAsante jirani pumzi imekata hamna mpizani kwa sasaPole jirani.
Sio kocha mkuu ubora wa wachezaji tu viungo wakabaj tatizo angalia dembele alivyokuwa anakichafua katkat hapo wanyama alikuwa benchiAisee Man u tatizo la msingi ni kocha
Mourinho hana kosa kwa mfano matic alivyokuwa anapoteza mipira ina maana kocha kamwambia afanye yale? Jana tulizidiwa tu hamna cha kocha timu yetu inawachezaj wa kawaida sna tumshukur Mungu hata nafasi ile tuliyopo bado tunahitaj uwekezaji wa nguvu pep sio mjinga kuwekeza vile kwa jana shida ilikuwepo kwa viungo wa katiView attachment 688520 angalia statistics kisha jiulize ni wachezaji au maelekezo ya kocha
itakua Sanchez hakucheza.Mkuu hatuna viungo wa kazi matic kachoka sasa kacheza mechi nyingi mno pogba hana mpira wa jihad kama wanavyocheza viungo wengine kweli wanakuwa msaada kwa timu na unaonekana. Kuna muda tukubali kuwa udhaifu tunao hasa kati na beki zetu hazijatulia pengo la bailly ninkubwa sana pale kati. Jones na smalling morali na utulivu hakuna kabisaMourinho hana kosa kwa mfano matic alivyokuwa anapoteza mipira ina maana kocha kamwambia afanye yale? Jana tulizidiwa tu hamna cha kocha timu yetu inawachezaj wa kawaida sna tumshukur Mungu hata nafasi ile tuliyopo bado tunahitaj uwekezaji wa nguvu pep sio mjinga kuwekeza vile kwa jana shida ilikuwepo kwa viungo wa kati
Toka niwe shabiki wa hii timu leo hata mbao wangetunyoosha tushukur Mungu hatujapigwa tatu mzuka kama jirani
Hii timu haina kabisa viungo wakabaji tuna viungo washambuliaji wengi sana hata wakina smalling na jones kuwashambulia ni makosa sana young sio natural full back valencia hivyo hivyo
Kwa maoni yangu katikati tulikuwa hovyo sana.
Leo ni moja kati ya siku tulizocheza vibaya sana(ovyo)
Acha tupiganie namba mbili yetu maana wa chin yetu naye kaliwa.
KING Ngwamba njoo utusaidie huku maana naona plastic fans wanaongezeka kwa kasi
Yeovil Town 😀 😀 😀 Iko Siku nitawaambia Kwanini Leo ninacheka!
, ni mchezaji wa kucheza westbrom, sunderland na viteam vya uwezo wake lakini sio Man U, hovyo kabisaa. Smalling, lingard, young na fellaini hawa hata wa perfome vzuri co wa2 wakuanza....Amani hua inanitoka nikimuona smalling uwanjanii![]()
, ni mchezaji wa kucheza westbrom, sunderland na viteam vya uwezo wake lakini sio Man U, hovyo kabisaa.
Kwa phill jones ni Moja kati ya mabeki bora tulio nao Man u. Sio mtu was papara, anauwezo was kupandisha team vizuri sana kubwa zaidi ni mtu was maamuzii.
Nathubutu kusema shida tulio nayo kawasasa OT ni Kocha mweye uwezoo wa kukabiliana na mbinu za wapinzani, tofuti na mawazo ya Kujilindaa kwa 70% ni hatari sanaa