DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
AhsanteNeno moja tu. Poleni
AhsanteNeno moja tu. Poleni
Najua waqt mnao pitia ila ndo hivyo MAHABA kitu cha ajabu sana sina la kuwafariji zaidi ya pole.Asubuhi watakua wamejaa barazani hapa watatunanga mpaka basi sasa ivi wamelala.
Asante mtani
Hii kauli thabiti kabisa ila polepole naona babu yenu akili inaanza kufunguka na kumwaga mpunga.Dah, tunanunua mashati ila matako yako wazi kabisa.


Upo mkuu?This is sad
mzee Wenger atakuwa anafanya makusudi alishajua mashabiki wa Arsenal ni mandezi.
Kesho ndio leo tuanze kujadili hili balaaFT
Swansea City 3-1 Arsenal
Hili balaa tutalijadili kesho leo ngoja nione napataje usingizi.
TAYARI....!![]()
Bila JW10 naona kama hakuna sherehe siku hizi dogo anaumwa,hawa Swansea wako mkiani kila game kwao ni final inabidi tuende kwa step kilichomkuta Liva sio miujiza mjue.
Kuna msiba!?Habari ziwafikie.