eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Poleni sana
Mou ufundishaji wake wa mafanikio ni mwaka mmoja tu katika kila team anayoenda
Prondo, radika, juma jux, mkurya na fans wote wa man u hilo ndio zigo lenu kwa mourinho
Inaonekana kuna kamgomo nini huku kwenu