Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,098
- 10,449
Ahahaaaaaaaaaaah...Ana akili sana Mou, kamwe hawezi kusema akae karibu na Martial, anajua kuna mwanga mkubwa ndani ya Rashford. Safi sana.
Kazi kweli kweli..!
Ahahaaaaaaaaaaah...Ana akili sana Mou, kamwe hawezi kusema akae karibu na Martial, anajua kuna mwanga mkubwa ndani ya Rashford. Safi sana.
Ahahaaaaaaaaaaah...Litarudi hilo na mengine watabugia tu.
Ulivyomtaja Mou hapo jiandae kwa wapenzi wake wasiopenda umpinge.Nilichojifunza mechi ya leo
Nemanja Matic amechoka sana mara baada ya kutumika kwa muda mrefu hivyo ni wakati wa kumpa nafasi na Carrick.
Ashley Young apumzishwe na nafasi yake apewe Luke Shaw natural left back.
Chris Smalling anachezaje wakati mtu kama Marcos Rojo mzima
Man Utd chini ya Jose bado tupo maili nyingi sana kuufikia ubingwa wa EPL.
Ahahaaaaaaaaaaah...Kwa mpiraaa huuu Man u Tunastahili kufungwaa
Kwa mpira huu lawama zote kwa kocha. Una kila kitu na unapata wachezaji unaowaona wanafaa lakini bado timu haina kiwango cha maana. Mou BURE kabisa
Ahahaaaaaaaaaaah...
Kwani ni lini Man Utd imewahi kucheza mpira mzuri tangu imuajiri Mourinho..?
Anataka supersport kwenye mobdro, Yaani akifungua app ya mobdro apate supersport. mm sijui kama ipo. naangalia tu skysport. ila leo nimecheck mechi zote Bein sport. 2, na 3Unaidownload google au kwa opera usiitafute play store
Anataka supersport kwenye mobdro, Yaani akifungua app ya mobdro apate supersport. mm sijui kama ipo. naangalia tu skysport. ila leo nimecheck mechi zote Bein sport. 2, na 3
Kila tukifungwa sio? Na kwenye maumivu vumilia sio kila siku furahaMourinho out
Tony Martial my Ninja nasubiri anifurahishe hapa na sanchez...
Ule ubishi wa nan zaid kati ya pogba na kelvin debruine bado upo vijiweni?
Bruyne usimlinganishe eti na takataka inayaitwa Pogba mkuuUle ubishi wa nan zaid kati ya pogba na kelvin debruine bado upo vijiweni?
Salute mkuuNaye pia mbabaishaji team kubwa inawachezaji wenye majina lakini aieleweki inacheza kitu gani