Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sorry bro! Hivi Pogba Jana Alikuwa Akiumwa au Delle Ali na Eriksen Walifanya yao ? 😀 😀 😀
Pogba sio jukumu lake alilopewa ndo mana hata sijamzungumzia mourinho nahisi anashindwa kumtumia alimpatia mechi ya everton alipokuwa akitokea kushoto na hata mechi ya arsenal atake asitke lazima anunue viungo level za kina vidal kumfanya pogba awe free KDB mwenyewe anatembea nyumba kuna mwamba fernandinho
 
Mkuu Lee Cho in Nipo Kwenye Maeneo 😀 😀 😀

Kuna days Nilipost Kitu Hichi ↓↓



Nilisema Kuna Siku Nitawaambia Sababu Ya Kucheka, Kwahiyo Nilichochekea Ni Kwamba Nilipoziona Zile Comments Za Watu Kusifia Performance Ya Hali Ya Juu ya Man United walioionesha Zidi ya [HASHTAG]#YeovilTown[/HASHTAG] huku Wakisahau Kuwa Timu waliocheza nayo Ni Ya Mchangani... 😀 😀 😀

Ni kilichonifurahisha Nikuwa Niliamini Majisifu yao Hayata Last long... Na Leo Ndiyo hii washageuka!
[HASHTAG]#PlasticFans[/HASHTAG] Ni shida...
Sifikirii kama kuna mshabiki timu yake ikicheza vizur ataacha kusifia hata ukipigwa bado utachambua makosa huo ndo mpira

Mbona liverpool tulimsifu kumpiga city lakin tulicheka kupigwa na swansea wewe mwenyewe ulilalamika Can kutolewa ktk ile gemu juzi unamlaumu klopp kwa nn kampa u captain cana wakat hana roho ya kubaki sasa sijui wakina can mnawawili hapo liverpool?
 
Sijawahi kuona Man Utd ikicheza hovyo kama leo!

Pole sana mtani,ifike time tukubali kua hizi timu kwa sasa zina mashabiki wengi na wapiga kelele tu ila tunachokiamini hakina uhalisia kabisa honestly tuna mediocre players kibao ambao wana homa za msimu ukiangalia gap alilotengeneza Man City unaona kabisa tumebakiza kelele tu.
 
Pole sana mtani,ifike time tukubali kua hizi timu kwa sasa zina mashabiki wengi na wapiga kelele tu ila tunachokiamini hakina uhalisia kabisa honestly tuna mediocre players kibao ambao wana homa za msimu ukiangalia gap alilotengeneza Man City unaona kabisa tumebakiza kelele tu.
Pamoja na hayo yote, wachezaji wanacheza chini ya kiwango chao. Na ndio kilichotokea jana. Si kwamba wamecheza mpaka mwisho wa uwezo wao.
Timu ikifungwa wakati wachezaji wametoa 100% huwa haiumi sana. Jana wachezaji waliotoa 70% hawafiki watatu.
 
Niliandika hii mwaka Jana December, Ndio msimamo na maoni yangu mpaka sasa.


Nilitukanwa sana na wanaojiita "Die Hard Fans" wanaotulazimisha nyekundu tuseme ni nyeupe.

GGMU
Mbona unasema baada yakufungwa kipindi akishinda husemi au yeye kawa mungu kwamba kila game lazima ashinde acha umaandaz
 
Players like Blind, Smalling, Young, Fellain, wanaongeza tu tu idadi ya members kikosini ...toa hao leta watu
 
Sijui nimlaumu nani wallahi acha tuone mpaka mwisho tutakua wapi maana ni balaa asee yani pale kati kama palikua empty mtu mmoja tu anatembea wanamshangaa tu..
 
Hebu akina Mwl. Kashasha mtudadavulie, ni nini tatizo la MUFC kwa sasa?
 
Mourinho kote alipotoaka alikuta kuna wachezaji wapambanaji na yeye akawaongezea, lakini hapa Manchester amekuta wachezaji wa kawaida na kisha utoto mwingi, sasa naona ndio anguko lake limewaidia
 
Back
Top Bottom