DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Sio mbayaIla msimamo bado upo vilevile,,,
Sio mbayaIla msimamo bado upo vilevile,,,
PoleniPolenu
Wewe timu gani mkuuPolenu
Mourinho out
Mourinho out
Mourinho out
Mkuu kwani aliyetakiwa kumsaidia Young kukaba ni Sanchez?..kwa formation ya leo sema ni nani alikuwa hashuki kukaba?Wachezaji leo wamekuwa hovyo kabisa
Pogba sijui kalala wapi
Martial inaelekea hamjui Mou
Jones kama mlevi leo
Smalling analeta panic attacks kwenye defence
Sanchez hakabi kampa shida sana Young
Mkiwa na wachezaji 7/8 hawajisikii kucheza hamuwezi kushonda. Ndio maana Mou huwa anawapa ukweli wao!
Vipi..?Tony Martial my Ninja nasubiri anifurahishe hapa na sanchez...
Yaani hizo takataka ulizotaja ndio unategemea zikupe matokeo dhidi ya Spurs Wembley..!?Piga 4G hao..
1.sanches
2.lukaku
3.martial
4.LINGARDDD!!!
Na BONUS YA CLEANSHEET![]()
HahaaaaaYaani hizo takataka ulizotaja ndio unategemea zikupe matokeo dhidi ya Spurs Wembley..!?
Ahahaaaaaaaaaaah...Nauona usiku mzuri Leo, best wishes MUFC.
leo tumechemsha mi nlipomkosa herrera nlijua kupigwa kupo kwa spurs ya kushambulia bila mkabaj ni hatarKwa mara ya kwanza namuona Pogba anapigwa benchi.
Unaidownload google au kwa opera usiitafute play storeMbona siipati supersport hapo mobdro wadau msaada hapo