Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,092
- 10,391
Ahahaaaaaaaaaaah...
Mkuu Vipi Bado unasimamia Hii kauli Yako au Umeshaifuta Hii kauli?
Kiongozi...
Hakuna shabiki KIAZI wa Manure Utd kama huyo jamaa..!
Ahahaaaaaaaaaaah...
Mkuu Vipi Bado unasimamia Hii kauli Yako au Umeshaifuta Hii kauli?
Na huyo no. 6 patachezwa nini?![]()
Mwakani OT itachezewa Futuhi
Hamjui mpiraHizo timu zingine zimekatazwa kuifukuzia city we kibogoyo?
KujiteteA kwiiiiiiiiiiiiiingiiiiKama ambavyo Chelsea kampiga Stoke city 5 wakati Stoke aliharibu 4G ya Man Utd....mpira kama ramli vile![]()

UtaonaHata kujifukuza zenyewe haziwezi.
Tunakubaliana kua Chelshit kasogea nafasi ya pili au?ni wakati wa kuanza kutamba na nafasi mpya ya 3 hakuna namna.
Bado tunasubiri Pogba amalize adhabu tuanze balaa letu...![]()

Mourinho is responsible (tactics) kwa haya yanayotokea hali ikiendelea hivi hakuna atakayemtetea but the way wachezaji wanavyocheza(attitude) yao ni wachache sana wanadeserve kuchezea hii timu hata angekuwa kocha gani.Hii timu akija kocha mwingine nae atafukuzwa kwa wachezaji hawa cycle itakuwa inaendelea

wana kauli yao kua hawakati tamaa wanabeba EPL msimu huu.Nguvu zimeniisha
Tactics za Mou ni outdated. Playing defensively won't win us anything..Nagombana sana na watu kuhusu moronho,yule jamaa ni kocha mzur sana.man u tuna timu ya kawaida sana kwa kwel