Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,726
Wewe umeongea sasa ndo mana niliuliza ina maana hizi timu ndogo zinawachezaji bora kushinda wa united?. Maana hata movements zao kushambulia safi kabisa ila sisi hovyoo yani.Tunapita katika kipindi kigumu sana lazima tukubali hilo pana mambo na maamuzi lazima yafanyike kwa mkufunzi na wachezaji pia mbona pana vitimu vidogo tu lakini unaona vinacheza mpira unaeleweka na matokeo wanapata!