Na lingard anafanya nini ? Rashford toka kaingia vp ?Kwa anayoyafanya mickh namuunga mkono morinho
Dk. Ya 68 bado bila bila ila united atafungwa soon tu maana anakimbizwa kinoma huku
0-0
Southampton alioshwa vya kutosha na liver, mpira hauna adabu!!Dk. Ya 68 bado bila bila ila united atafungwa soon tu maana anakimbizwa kinoma huku
Unaangalia mechi gani ya Man United mkuu?
Rashford yupo uwanjani tangu dakika ya 14 kachukua nafasi ya injured Romelu Lukaku
[HASHTAG]#MourinhoOut[/HASHTAG]!!Hii itakuwa draw ya Tatu mfululizo, lazima kuna tatizo la mahusiano kati ya Mou na wachezaji au management.
Mkuu itakua hiviIkibaki hivi hivi Chelsea watakuwa wameturuka kichura (leap frog), mbaya sana.