Swahiba leo nimepita uku mara moja kumbe una kigoda chako ukuwana kauli yao kua hawakati tamaa wanabeba EPL msimu huu.
bro huku ndo stress free zone siku hizi.

Mkuu piga wiski mix na shujaa nakuja kulipaLEO WATOTO YATIMA MMEJAZANA HUMU ACHA MJIMWAGE
Mkuu sometime hata kuandika inakua shida,, Nafsi zmajaa sumuam so tired
Bila shaka kuna campaign against Jose inaendeshwa chini kwa chini yawezekana baadhi ya wachezaji hawakubaliani na mbinu za mwalimu.Ila mourinho nahis wachezaj washamchoka mkuu ukiamuangalia pogba hana hamasa kabisa yan mik ndo bora liende manchester tukipata mchezaj mkali kwa sasa itaongea pesa sio mvuto wa kocha.
nimechoka kwa kweli na kwa mara ya kwanza toka nianze ishabikia hii timu 1998/99 chozi limenitoka leoMkuu sometime hata kuandika inakua shida,, Nafsi zmajaa sumu
Ndo tukose tena UCL???
Mwenyezi Mungu atuepushe na kikombe hicho
NB. Josee anabeba lawama zote katika haya,,
Nmegundua Manchester United ni Club kubwa sana kwa kocha aliopo..
Malalamiko hayamsaidii,, kwanza ni utovu wa maadili kwa mkufunzi wa Manchester United kuzungumzia timu zingne hasa katika matumizi,,, Hajawahi kuwa na First 11 kwa miaka 2 sasa.. Kama sio Ubora wa De Gea na ujemedari wa Matic sidhan hta hyo namba 3 tungekuwepo
Mwanadam anaposhindwa kuyamudu mazingira yake tunamwita 'Primitive' Mara mia tufungwe na Bigger wenzetu na sio kuvimbiwa na kna soton,, WBA,, Lei nw...
Unafikiri De Gea angekuwa anacheza kama wachezaji wengine wanavyocheza kila game United ingekuwa inafungwa si chini ya magoli 3Bila shaka kuna campaign against Jose inaendeshwa chini kwa chini yawezekana baadhi ya wachezaji hawakubaliani na mbinu za mwalimu.
Kumbe uliliona hilo tegemezi wake alikua big fella sasa hayupo. Timu inashindwa kucheza hata pasi 5 murua mbele pale yani dah.Mkuu kama uliangalia mech ya bristol city walivyotupa shida utagundua kocha hana mbinu habadilik kwendana na wachezaj alionao alipotoka lukaku nkajua mipira ya juu itakuwa haina maana tena mana rashford na lingard sio wazur hewan lakin makross tu
Bila shaka mkuu lakini siku zote Mungu hakupi kilema akakukosesha mwendo mnafanya matipwi kule nyuma lakini De Gea anawastiri mara kwa mara.Unafikiri De Gea angekuwa anacheza kama wachezaji wengine wanavyocheza kila game United ingekuwa inafungwa si chini ya magoli 3
Bado kufa tuNguvu zimeniisha
Naunga mkono hoja yani Pogba leo alikuwa yupo yupo tu pale kati.Bila shaka kuna campaign against Jose inaendeshwa chini kwa chini yawezekana baadhi ya wachezaji hawakubaliani na mbinu za mwalimu.
nimechoka kwa kweli na kwa mara ya kwanza toka nianze ishabikia hii timu 1998/99 chozi limenitoka leo
Tutapata sukari kwa huu mwenendo wa hii timu.
bora sukari hii timu itaua mashabiki wake wengi sana hapa duniani![]()
![]()
![]()
Tutapata sukari kwa huu mwenendo wa hii timu.
Mkuu im very sorry for You...nimechoka kwa kweli na kwa mara ya kwanza toka nianze ishabikia hii timu 1998/99 chozi limenitoka leo




Utd ForeverHahahahaHii timu itakuja ondoka na roho yangu.