Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,917
- 27,122
Mkuu tuko pamoja. NimebanaJamani, tuendelee kuzibana kende kwa umoja, Manu wasichomoke.
Mkuu tuko pamoja. NimebanaJamani, tuendelee kuzibana kende kwa umoja, Manu wasichomoke.
Jose siyo kocha huyo..Hii itakuwa draw ya Tatu mfululizo, lazima kuna tatizo la mahusiano kati ya Mou na wachezaji au management.
Mfukuzeni The special One. Hana jipya..
Tuko pamoja mkuuJamani, tuendelee kuzibana kende kwa umoja, Manu wasichomoke.

Sawa King Kenny DalglishMkuu Siongelei Kinachoendelea Uwanjani Bali Naongelea List.
Sio mpira hauna adabu Manchester united kinachoiangusha ni midomo ya mashabiki wake wanaipamba mnoSouthampton alioshwa vya kutosha na liver, mpira hauna adabu!!
Pole jirani yangu.huu ni ujinga. mtu kutoka nafasi sijui ya ngapi huko mpaka kaingia chumbani kabisa!!!!!
Kama ambavyo Chelsea kampiga Stoke city 5 wakati Stoke aliharibu 4G ya Man Utd....mpira kama ramli vileHv hii soton c ndo ilipgwa 5
Na spurs ama
