Kocha hovyo, jinga na joga sina furaha kabisa na timuTumebaki na competitions 3, UEFA, EPL na FA. Sioni sehem tunanyanyua kwapa this season hapo. Truth be said..
Mourinho ni mpumbavu, hii defensive ideology yake inai cost team Sana, this time around Utd ikiongoza goli moja baasi inawaza kulinda tuu.
Imagine Jana, 1 goal n 1 man advantage then tunashindwa kumaliza game. Pathetic..