Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mourinho is responsible (tactics) kwa haya yanayotokea hali ikiendelea hivi hakuna atakayemtetea but the way wachezaji wanavyocheza(attitude) yao ni wachache sana wanadeserve kuchezea hii timu hata angekuwa kocha gani.Hii timu akija kocha mwingine nae atafukuzwa kwa wachezaji hawa cycle itakuwa inaendelea
Well said mkuu
 
Alinyimwa hela ya kusajiri?? Alikatazwa kusajiri?? Muda mwingine muwe mnatumia akili
Ni kweli, kama angeona hawafit na mfumo wake Si angeongea na board wawa offload. Ila kama amewabakiza that means anawahitaji, and that is not an excuse..
 
Leo tatizo ni nini
Gundu analitengeneza na kuweka mgawanyo kwa wachezaj huyu kocha wachezaj lazima watakuwa na vinyongo tu haiwezekan pogba afike alambe ucaptain mi siungi mkono hata kidogo wala halipendez de gea yupo kitambo pale jones yupo pale yani wanacheza ila hawana ile hamasa kocha mpuuz kwenye hilo

Pia kuwashambulia wachezaj kwenye media mkhitaryan anacheza tu ili kusepa shaw anapiga cross muda wote zinagonga miguu mabek najiuliza huyu kipofu au
 
Rashford amekuwa so selfish, inabidi Mou aongee naye. A kid needs to grow up.
Vitoto kama hivi vinawah kuharibika hamna viongoz pale captain mwenyewe pogba atamwambia nn rashford valencia mpira unaanza had unaisha hata wamkwatue hamna kuongea lazima viwe hovyo ronaldo alipata bahat ya wakina kean akicheza hovyo yanamfuata
 
Ok malalamiko ni mengi!! Embu mmoja aseme na atoe kikosi ambacho kinatakiwa kucheza coz naona kila mchezaji kashachezeshwa kweny nafasi yake lakin hamna chochote. Mfumo upi mou atumie
 
Mimi sioni tatizo la wachezaji hapa lazima kuna kitu mbona ligi ilivyoanza timu ilikua inacheza vizuri sana?? Matokeo safi kabisa sasa hivi tatizo nini??
Timu haibadiliki kiuchezaji inamaana soton wana wachezaji bora kuliko man u? Hapana!!! Tatizo nini KOCHA..............
Mkuu kama uliangalia mech ya bristol city walivyotupa shida utagundua kocha hana mbinu habadilik kwendana na wachezaj alionao alipotoka lukaku nkajua mipira ya juu itakuwa haina maana tena mana rashford na lingard sio wazur hewan lakin makross tu
 
FT: Man Utd 0-0 Southampton.

Another disappointing result for Jose Mourinho's men
26165198_10156042515573598_6097138099297257867_n.jpg
 
Back
Top Bottom