Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mourinho's excuses bingo:
Injuries
Fatigue
Referee
Weather
They’ve spent more money
19th century football
Wenger
Pep
Van Dijk
The pitch
Jamie Redknapp
The FA
4th official
The board
Eva Carneiro
 
Achana na uchambuz wa kina jimie hizo takwimu zao zilichukuliwa mech za ugenini je nyumban kawafanya nn hao wakubwa?

Tumemfunga spurs na chelsea tumepoteza mech moja ya city suluhu ya liver na arsenal bado hiyo kauli ipo hai? City msimu ulioisha kapigwa na chelsea away,kapigwa na spurs away kapigwa na liver away arsenal suluhu kashinda mechi moja tu ya away tena kwetu

Tumecheza mechi moja tu msimu huu watu washatoa hitimisho vyombo vya uingereza vinaharibu soka lao.

Hao ni maadui wa mourinho pia hata ukiangalia kwa jicho la mbali tuna mechi ya uefa ambayo ni muhimu mno ukiongoza kundi lako unanafasi ya kumkwepa mkubwa mmoja ligi ni mbio ndefu uefa ni mtaono ukizubaa tu imekula kwako

Najua wengi mtanibishia city ni moto wa mabua utazimwa muda si mrefu manchester united ni bingwa wa epl
tunzeni hii nina uhakika 100%√



Mkuu Vipi Bado unasimamia Hii kauli Yako au Umeshaifuta Hii kauli?
 
No comment no comment no comment kocha mhh wachezaji ovyo kwa kocha huyu na wachezaji hawa sijui itakuwaje champion league tunakutana zile team zenye uchu wa kufunga
 
Mournho anadai €300m ni kidogo atiiii kwa ajili ya nsajili yakhee!!
 
Back
Top Bottom