Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ngoja nilale hizi 500 zangu bora niwe nakunywa mchuzi wa pweza shubamiiti Mou na timu yake..
a.jpg
 
Tunakubaliana kua Chelshit kasogea nafasi ya pili au?ni wakati wa kuanza kutamba na nafasi mpya ya 3 hakuna namna.
Bado tunasubiri Pogba amalize adhabu tuanze balaa letu...
Adhabu gani wakati ile ilishaisha kitambo tu au unaota?
 
Back
Top Bottom