Betterhalf
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,882
- 2,561
Mimi ni Man Utd fan,lakini lazima nikiri kwamba Man City wako on fire.
Hizo timu zingine zimekatazwa kuifukuzia city we kibogoyo?Bora tim nyingine ingeifukuzia XCity
Ila man U haina uwezo huo
Inabidi ijitaid isiwe ya tano
Na Leo mnadraw na SouthamptonMatumaini ya ubingwa kwa sasa ni madogo mno kwa kuwa yanategemea makosa ya Man City "noise neighbours".
Tunahitaji kujiimarisha tuendelee kupambana kwa ubingwa(kama jamaa watateleza) au tutafute CL spot mwakani.
Pia,tukomae CL kwa sasa kwa kuwa lolote linaweza kutokea kule.
[HASHTAG]#manutd[/HASHTAG] 4ever#
Time will TellNa Leo mnadraw na Southampton
Hata kujifukuza zenyewe haziwezi.Bora tim nyingine ingeifukuzia XCity
Ila man U haina uwezo huo
Inabidi ijitaid isiwe ya tano
Na wewe umekubaliana nae? Basi akili zako na zake hazina tofauti.CARRAGHER ametoa maelezo ambayo mimi nimemuelewa vizuri sana kuhusu Mourinho na Guardiola.
Amesema kwamba kinachomponza sasa Mourinho na kinachombeba Guardiola ni aina yao ya soka wanalofundisha na si aina ya wachezaji walionao. Akaendelea kusema kwamba United ya sasa kwa kuangalia mchezaji mmoja mmoja ni bora kuliko City.
Akasema kwamba anaamini Mourinho akipewa City ya sasa isingekuwa inacheza soka la kuvutia na wala isingeshinda idadi ya mechi hizi. Na akaendelea kudai kwamba United ya sasa angekuwa nayo Pep Guardiola ingekuwa tishio sana. Maana akasema kwa kigezo kwamba hata kwa kuangalia mchezaji mmoja mmoja kwa kuanzia De Gea na Ederson wa Man City De Gea bado ni bora.
Na akaendelea mbele kwa kusema kwamba wakati United inamnunua Lukaku kwa ada kubwa City walimnunua Gabriel Jesus ambaye anazidiwa ada ya uhamisho na Luke Shaw ambaye anasugua bench aliyenunuliwa kwa pound milioni 30.
Akasema kabla ya msimu kuanza hakuna shabiki ambaye angeweza kukubali kuwalinganisha Sterling na Rashford ama Sane na Martial ambaye alitoka Monaco. Na pia hawapo Sawa Matic na Fernandinho.
Na hata De Bruyne na Pogba.
Bernado Silva na Mkhitaryan. Gundogan na Mata. Mangala na Bailly.
Kwahiyo anaona United ipo vizuri zaidi ya City ila tatizo ni Mourinho kaishpiwa mbinu na sasa anatafuta visingizio tu.
Kwangu mimi naona ni kweli.
hakuna kitu kama icho,pep akipewa man u ya sasa na haya majeruhi ata top four haingiiCARRAGHER ametoa maelezo ambayo mimi nimemuelewa vizuri sana kuhusu Mourinho na Guardiola.
Amesema kwamba kinachomponza sasa Mourinho na kinachombeba Guardiola ni aina yao ya soka wanalofundisha na si aina ya wachezaji walionao. Akaendelea kusema kwamba United ya sasa kwa kuangalia mchezaji mmoja mmoja ni bora kuliko City.
Akasema kwamba anaamini Mourinho akipewa City ya sasa isingekuwa inacheza soka la kuvutia na wala isingeshinda idadi ya mechi hizi. Na akaendelea kudai kwamba United ya sasa angekuwa nayo Pep Guardiola ingekuwa tishio sana. Maana akasema kwa kigezo kwamba hata kwa kuangalia mchezaji mmoja mmoja kwa kuanzia De Gea na Ederson wa Man City De Gea bado ni bora.
Na akaendelea mbele kwa kusema kwamba wakati United inamnunua Lukaku kwa ada kubwa City walimnunua Gabriel Jesus ambaye anazidiwa ada ya uhamisho na Luke Shaw ambaye anasugua bench aliyenunuliwa kwa pound milioni 30.
Akasema kabla ya msimu kuanza hakuna shabiki ambaye angeweza kukubali kuwalinganisha Sterling na Rashford ama Sane na Martial ambaye alitoka Monaco. Na pia hawapo Sawa Matic na Fernandinho.
Na hata De Bruyne na Pogba.
Bernado Silva na Mkhitaryan. Gundogan na Mata. Mangala na Bailly.
Kwahiyo anaona United ipo vizuri zaidi ya City ila tatizo ni Mourinho kaishpiwa mbinu na sasa anatafuta visingizio tu.
Kwangu mimi naona ni kweli.
CARRAGHER ametoa maelezo ambayo mimi nimemuelewa vizuri sana kuhusu Mourinho na Guardiola.

Nagombana sana na watu kuhusu moronho,yule jamaa ni kocha mzur sana.man u tuna timu ya kawaida sana kwa kwelMourinho kafanya kazi kubwa sana Manchester hadi hapa alipofika, huwezi ukawa na wachezaji kama lingard, Rashbeck, young, smalling, Jones, Zlatan, Herrera alafu ukawa nafasi ya pili kwenye msimamo ukazipita timu zenye akina Sanchez, Ozil, mane, salah, countinho au Hazard.
Huna fullback kwenye kikosi, huna winger kwenye kikosi, CB unaowategemea ni akina smalling lakini unajikongoja kwenye nafasi ya pili nyuma ya kocha aliebadili karibu robo tatu ya kikosi chake
Huu ni ukweli usiopingika..CARRAGHER ametoa maelezo ambayo mimi nimemuelewa vizuri sana kuhusu Mourinho na Guardiola.
Amesema kwamba kinachomponza sasa Mourinho na kinachombeba Guardiola ni aina yao ya soka wanalofundisha na si aina ya wachezaji walionao. Akaendelea kusema kwamba United ya sasa kwa kuangalia mchezaji mmoja mmoja ni bora kuliko City.
Akasema kwamba anaamini Mourinho akipewa City ya sasa isingekuwa inacheza soka la kuvutia na wala isingeshinda idadi ya mechi hizi. Na akaendelea kudai kwamba United ya sasa angekuwa nayo Pep Guardiola ingekuwa tishio sana. Maana akasema kwa kigezo kwamba hata kwa kuangalia mchezaji mmoja mmoja kwa kuanzia De Gea na Ederson wa Man City De Gea bado ni bora.
Na akaendelea mbele kwa kusema kwamba wakati United inamnunua Lukaku kwa ada kubwa City walimnunua Gabriel Jesus ambaye anazidiwa ada ya uhamisho na Luke Shaw ambaye anasugua bench aliyenunuliwa kwa pound milioni 30.
Akasema kabla ya msimu kuanza hakuna shabiki ambaye angeweza kukubali kuwalinganisha Sterling na Rashford ama Sane na Martial ambaye alitoka Monaco. Na pia hawapo Sawa Matic na Fernandinho.
Na hata De Bruyne na Pogba.
Bernado Silva na Mkhitaryan. Gundogan na Mata. Mangala na Bailly.
Kwahiyo anaona United ipo vizuri zaidi ya City ila tatizo ni Mourinho kaishpiwa mbinu na sasa anatafuta visingizio tu.
Kwangu mimi naona ni kweli.
Young Na Delf wanatofauti gani?...Herrera Na toure?Na wewe umekubaliana nae? Basi akili zako na zake hazina tofauti.
Man city hakuna jones wala smalling kuna otamendi na stones
. Niambie hii mizigo itapata namba timu gani pale EPL Darmian, Blind, Zlatan, Rashbeck, smalling, young, Fellain, Herrera
Mpira haupo hivo.unataka tuwe kama Psg au?Acha De gea, Bailly, Matic, mata, Pogba, na Lukaku wengine wote gawia timu zingine hata bure, kwani wale chapaccoence hawahitaji wachezaji wa msaada?
Kama bodi wanamawazo kama yako, basi msitegemee jipya kwenye timu yetu.Mpira haupo hivo.unataka tuwe kama Psg au?
Nilitaka nikujibu kuhusu young, ila nilipoona unamlinganisha Herrera na Toure, nikajua haupo serious.Young Na Delf wanatofauti gani?...Herrera Na toure?