Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jose Mourinho: City are lucky, and always get decisions in their favour
Noel Gallagher: The hypocrisy of that man is staggering!
 
Top 4? Chifu, niaje timu iliyo nafasi 2 unataka ipambane kwa top 4? Ligi bado hii. City hawezi kucheza hivi mpaka msimu unaisha. Labda kama aamue kuweka nguvu zote kwenye EPL! Bado yupo FA na UCL, kumbuka.

Bado 22 games, you cannot throw the towel now, United cannot throw the towel now. A lot of things can happen: injuries, suspensions etc., kwa hiyo labda kama umeamua kufurahisha genge kusema ati ligi imeisha, wakati hata half way haijafika.

Ha ha! Halafu sikujua kama ni wewe kashengo naona umetoka mafichoni! Vipi, [HASHTAG]#WengerOut[/HASHTAG] or [HASHTAG]#WengerIn[/HASHTAG]
Kwani Man Utd hayupo UEFA..?
Hayupo FA..?
Au kwamba kuanzia leo Man Utd atakua anashinda mechi zote alafu Man City atakua anapoteza tu..?
Umeongea kuhusu injuries na suspensions,Man Utd hawawezi kukutwa na hilo tatizo..!?
Hivi kati ya Man Utd na Man City nani ana kikosi kipana..?

Ahahaaaaah...
Ila sio mbaya,endelea kujipa moyo na matumaini..!
 
Kompany na Otamendi weupe sana. Timu yao inashambulia sana hawapati kashkash. Mou analijua hilo ndio maana kawaweka Rashford na Martial. Watakimbizwa hao hutaamini.
Ahahaaaaah...
IMG-20171210-WA0015.jpg
 
Tulizeni ball,ManCity hawana ubavu O/Trafford,watapigwa tu,waulizeni Arsenal mpira mwingi waliocheza uliwasaidia nini, mwasema hawa wapiga kelele wa M/City wanaupiga mpira mwingi, utawasaidia nini wakati goli halipatikani,tusubiri hiyo siku haiko mbali

Hao ndio Man City vijana na Pep!! Mamaeee na bado!!
 
moja moja mpaka sasa, na wao wana stones na otamendi ndani.... Man city ni timu inayofungika, lau kama tutakuwa tunatafuta goli kama tulivotafuta la kwanza, man city analiwa 4G. beki zake bado.....
4G!!!!!!!???
Nani huyo kaliwa hizo 4G
 
Mkuu unamaanisha nini unaposema : City can’t sustain hii pace mpaka mwisho
Anachotafuta city ni ushindi na sio malalamiko baada ya kufungwa.
Mwanzo walisema \city hajakutana ni timu kubwa, wakati huo alishampiga Chelsea, kashampiga Liverpool na arsenal. wakasema sasa Chelsea ni timu kubwa ?, swali likaja walipokutana na Chelsea man u alilala.
Sasa timu kubwa ni ipi? Kwakuwa Man u alikuwa hajakuta na na Man city tukasema labda yeye ndie anaejiona timu kubwa, haya wamekutana leo na man u amelala,
Sasaivi mashabiki wamebadilisha msemo na sio tena timu kubwa bali usemi umekuwa : City can’t sustain hii pace mpaka mwisho.
1. Fine hajakutana na timu kubwa,
2. City can’t sustain hii pace mpaka mwisho
3. .....atafungwa na ki timu chaa


kweli mkuu
Haya ni maoni yangu, hayo uliyasema mimi sijawahi kuyasema. Hivyo, kama unalenga kujadiliana nami, usinijumuishe kwenye fungu ambalo simo.

Ninachomaanisha ni kwamba, kibinadamu, City hawawezi kucheza kwa kasi hiyo kwa mashindano yote. Wakifanya hivyo, watajiwekea mazingira ya fatigue, injuries, suspensions etc. Kumbuka anashiriki kwenye EPL, UCL, FA na League Cup! It’s doable, lakini to be honest sioni City wakifanya hivyo. Defense ya City siyo nzuri sana; leo United iliangushwa na kukosa mtu wa kupeleka mashambulizi mbele.

Anyways, tuombe uzima tu, ifikapo May, tuone nani yupo sahihi.
 
mi nipo Sie tushakubali mpaka wenger aende zake ndo turudi jukwaani kupiga ngenga....

Najua unakuwaga na roho ngumu uko Positive sana...apart kuwa Bado mko kwenye Race namaanisha kuwa Apparently Point 11 ni nyingi sana sana

Walau unatakiwa upige 10 winning run of games za EPL kuwapa Presha ikiwa kama ni kuwakamata

Jambo ambalo mazee ni Gumu sana

Umesema watapoteana kwenye mashindano mengine? kumbuka nawe unayo (UCL/FA/EFL CUP) so they may loose form or get a Defeat lakini Pia nawe utazipata

Kuna kazi sana kufanya Catching up mzee mtihani sana
Yes, but it’s doable. Ngoja tuone...
 
moja moja mpaka sasa, na wao wana stones na otamendi ndani.... Man city ni timu inayofungika, lau kama tutakuwa tunatafuta goli kama tulivotafuta la kwanza, man city analiwa 4G. beki zake bado.....
Ahahaaaaaaaaaaah...
Ulikua unaangalia mechi gani wewe jamaa..!?
Stones ni majeruhi,hajacheza hii mechi..!
Au ulikua unachezesha PlayStation game..!?
 
Back
Top Bottom