Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mdudu Nzi pole buana.....Jamani Point 11 ni parefu Tupambaneni na Top 4 tu


They are so Good by miles
Top 4? Chifu, niaje timu iliyo nafasi 2 unataka ipambane kwa top 4? Ligi bado hii. City hawezi kucheza hivi mpaka msimu unaisha. Labda kama aamue kuweka nguvu zote kwenye EPL! Bado yupo FA na UCL, kumbuka.

Bado 22 games, you cannot throw the towel now, United cannot throw the towel now. A lot of things can happen: injuries, suspensions etc., kwa hiyo labda kama umeamua kufurahisha genge kusema ati ligi imeisha, wakati hata half way haijafika.

Ha ha! Halafu sikujua kama ni wewe kashengo naona umetoka mafichoni! Vipi, [HASHTAG]#WengerOut[/HASHTAG] or [HASHTAG]#WengerIn[/HASHTAG]
 
Mata katumia dakika 5 kumfanga lukaku awe na shorts on target moja binafs naiman kubwa na lukaku kukosa namba 10 kunamfanya aonekane mbaya kwa nn mata akae bench wakat city wenyewe walikuwa waoga?
Yes, hili ndilo nimelisema pia. José aliogopa hii game. Defense ya City siyo nzuri, uliona ilivyokuwa under pressure ilivyokuwa iki collapse!! José angeanza na ‘gegen’ style. Anyways, United can still revenge at City’s.
 
Tetesi
Manchester United wamemualika winga raia wa Canada Alphonso Davies, anayeichezea Vancouver Whitecaps, kufanya mazoezi nao. (CTV, via Sunday Express)
 
Tetesi
Liverpool, Manchester United na Tottenham wamejiunga na Everton katika kumasaini mlinzi wa Augsburg ya Ujerumani Philipp Max, 24. (Mail on Sunday)
 
Tetesi
Meneja wa Manchester United Jose Mourinho anajiandaa kulipa pauni milioni 95 kumsaini mchezaji wa safu ya kati wa Lazio na Serbia Sergej Milinkovic-Savic. (Sunday Express)
 
Yes, hili ndilo nimelisema pia. José aliogopa hii game. Defense ya City siyo nzuri, uliona ilivyokuwa under pressure ilivyokuwa iki collapse!! José angeanza na ‘gegen’ style. Anyways, United can still revenge at City’s.

Kabisa mkuu sijui ndo ivo tusubir miujiza ya spurs mana yule anamnjulia pep toka wakiwa spain
 
Back
Top Bottom