Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huyu refa wa mechi yetu kesho michael oliver alivyo na maamuzi ya kipuuzi lazima city watapata penalty. Kwa namna city hasa sterling wanavyojua kujiangusha kwenye eneo hatari lazima penalty itokee. Huyu refa huwa simpendi, anatoaga penalty na kadi za ajabu ajabu sana.
Refa mzuri.
 
We will be OUTPLAYED in midfield.....Rashford au Martial angetoka kumpisha Mata au Mikhi.
Mikhi hapana atapata shida...sababu pogba wa kumchezesha hayupo....atakuwa na kazi kubwa ya kufuata mipira toka chini na atashindwa kusupply mipira kwa Lukaku.....acha apumzike tu mpaka pogba arudi.
 
Back
Top Bottom