Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Mi Nipo kwa BabuGeorge Betram ROBERTO 20
Naona leo kama mmeshinda lottery vile, ni mwendo wa furaha mwanzo mwisho
Hivi kwanza nyie mnashabikia timu gani ?
Mi Nipo kwa BabuGeorge Betram ROBERTO 20
Naona leo kama mmeshinda lottery vile, ni mwendo wa furaha mwanzo mwisho
Hivi kwanza nyie mnashabikia timu gani ?
Defense ya City siyo nzuri sana; leo United iliangushwa na kukosa mtu wa kupeleka mashambulizi mbele.
Anyways, tuombe uzima tu, ifikapo May, tuone nani yupo sahihi.
Mi Nipo kwa Babu
Hahahaha usipoteze mada kijanja tulia ukandweDuh afadhali nikae kimya
Duh mwaka wa 13 huu unakwenda no Ubingwa wa Premier League, ndio maana mna uchungu sana na Utd
Hahahaha usipoteze mada kijanja tulia ukandwe
Bado pointi 6 tu nikushike
Ww nafasi yako inajulikana
Hujakutana na timu ving'ang'anizi bado
Pole yako
Ww tulia Manchester city ashakuachaBoss wewe unatakiwa uwe na wasiwasi na Burnley na Leicester sio timu za Manchester, hizo zipo kina kirefu
1 Man City 16 15 1 0 37 46
2 Man United 16 11 2 3 25 35
3 Chelsea 16 10 2 4 15 32
4 Liverpool 16 8 6 2 14 30
5 Arsenal 16 9 2 5 10 29
6 Tottenham 16 8 4 4 14 28
7 Burnley 16 8 4 4 3 28
8 Leicester 16 6 5 5 1 23
Ww tulia Manchester city ashakuacha
Ww na Mm c pointi sita tu
Mechi mbili tu unasagwa bac kazi kwisha
Yaani mi nakutaka ww nikushushe halaf second leg nikunyoe swaaaaafi kabisa
Cjui hiyo uefa utaqualifyije
NB;Ubingwa sahau kabisa
sent from my xm udongo using jf app
"Gori" ndio nini mkuuMmefunga gori akalikataa sio?
Hapa naamini ni bahati kubwa mno angalia vigoli vyao vya hovyo hovyo tu umemgonga lukaku mara li bek limekutana nao jana niameamini bahat ipo mpirani hamna cha mipango bado sijaona best team ila ni bahat tu hata ile pressing ya kawaida mno sio kama ya liverpool wanaojua mpira wataelewa hiliMan Utd boss Jose Mourinho has conceded the Premier League title race is “probably” over
![]()
Sio wa hivyo kama unavyofikiriaUnatapatapa
Manchester united hainatofauti na njombe mji
Lukaku ktk goli zote mbili hakuna cha mipango daaa hakuna cha jesus,de bruyne wala sane wote kimya halafu useme mou sio kocha??????pamoja na kwamba wapo vizuri ila bahati nayo inawabeba sana
Unajenga timu mwaka wa ngapi huu?Guardiola kaja lini? Unanunua wachezaji kwa record ya dunia unaishia kupaki basi!!Nani kamfunga city tuanzie hapo kwanza kabla hujaanza na kocha makini acha mou ajenge timu yake mi ntamponda 2019/2020 aliikuta timu taabani sana
Ukiwa unashangilia hiv uwe unajiuliza kakuacha point ngap city labda ubingwa uwe hauutak uishie kushangilia goli za salah may unapigania top 4
Ww tulia Manchester city ashakuacha
Ww na Mm c pointi sita tu
Mechi mbili tu unasagwa bac kazi kwisha
Yaani mi nakutaka ww nikushushe halaf second leg nikunyoe swaaaaafi kabisa
Cjui hiyo uefa utaqualifyije
NB;Ubingwa sahau kabisa
sent from my xm udongo using jf app