Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Unafungwa na mchezaji aliyekuwa chaguo lako la kwanza kama no 9..

Mshambuliaji hawezi hata kupiga chenga mbili.. Hivi tuliwahi kuwa na namba tisa aina ya lukaku?
Chengaaa mbilii umenifurahisha mnoo....
 
82980642daba8bf3d1f85808a117e22f.jpg
6a21cf1c787e8584b5b87716d8e62620.jpg
db3721635fea7d9cf3ee7b708ac40e0c.jpg
9b92d8f95589fd5821d84073fe99fb31.jpg
b98fd663dd79ef8251a8b2d059ddb480.jpg
 
mchezaj wa kawaida mno kama imekuuma chomoa nachomeka tena
sio kosa lako ni kosa la upeo wako,kumfananisha Eden Hazard na akina Rashford na Martial ni dalili tosha una mapungufu ya kiakili linapokuja suala la mpira wa miguu.
 
hata nikiangalia sijaona kitu wachezaj wa chelsea wameizid united mourinhi plan yake mbovu leo utafikir anacheza na wakina Kdb + silva viungo wabunifu kumbe duuuuuuu
una akili ww wenzenu tuna hazard,fabregas,,kante,,morata,, halafu uoni nn mmzidiwa
 
Mkuu Kna timu 20 znashiriki pale,,,
Timu kama 6 Ukianza na Arsenal,, Liverpool,, Spurs,, Chelsea,,Man City,, na Man Utd zote znapigania ubingwa na nafasi Nne za juu..

Ili Basi uwe bingwa inakupasa kwanza usifanye makosa pindi unapokutana na timu ambazo tunaweza sema avarage ama ndogo kabsa,,
Hicho kitu City ni kama wamekiweza,,
Pili ukikutana na mkubwa mwenzio basi unatakiwa umpunguze speed,, either umfunge ama u-droo
Hiki kitu pia City wamekiweza hadi sasa,,..

Yote hayo ni pamoja na ubora wa kikosi cha City.
Sisi bado kiasi chake Mkuu,,makosa bado mengi,, Baka na AM wangeongeza chumvi kidondani kama wangekuwa makini zaidi..

Ubingwa wa EPL umeshakua mgumu hasa wakati huu ambao PG ypo pale,,, tena akiwa na resources za Kiarabu,, si rahis sana kumshinda,,

Ila cha mhimu kujipanga Wakuu,, nlichogundua ndio maana wachezaji wanagawanywa katika makundi ili hali wanacheza mchezo mmoja,,, PSG sio wendawazimu kuweka mizigo mezani kununu WC Players,, hawa avarage Players ndio wanaigharimu timu,,, Bernado Silva ypo benchi pale city,, Draxler,,Pastore,,Moura,, na hata dgo Rabiot wapo benchi Pale PSG,,, kna Bale nao hawana namba za kudumu huko Bernabeu,, Sie tunataka Kna Mkhi watubebeshe Ubingwa??
SAF's era are Over... Pesa itumike kuleta furaha,,

Other wise [HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]
Changia bsi ela nasikia wanapitisha kikombe cha mchangi
 
sio kosa lako ni kosa la upeo wako,kumfananisha Eden Hazard na akina Rashford na Martial ni dalili tosha una mapungufu ya kiakili linapokuja suala la mpira wa miguu.

hazard ana kitu gani special pale epl had sasa we jamaa top assist wapo wakina kdb,eriksen,sesc,ozil , silva magoli wakina aguero,alikuwepo costa kane daaaaa hebu niwekee takwimu zake special mbona mnamkuza kwa ku drible na mbio au?
 
mkuu ntajie misimu mi 3 ambayo hazard kawa kwenye form katupia goli zaid ya 15 au hata 10 na assist 10 tukikwambia ni mchezaj wa kawaida usikatae
so iniesta ni mchezaji wa kawaida???

nyie ndo mmejifunza mpira ukubwan iniesta ana magoli machache kuliko john terry bt ni world class player

kuna watu mnamuona mchezaji akiwa anafunga au ku assist

euro iniesta anashnda mchezaji bora alikua na goli moja au mbili assist hazizid tatu
 
Changia bsi ela nasikia wanapitisha kikombe cha mchangi
Kikifika nitachangia,,,
Ila kwani vile viwango ambavyo hutolewa na Forbes si hua ni cash tena katika viwango vya £????
If Yes,, zna kazi gani sasa??
If No,,, wajitangaze wachangiwe...
 
so iniesta ni mchezaji wa kawaida???

nyie ndo mmejifunza mpira ukubwan iniesta ana magoli machache kuliko john terry bt ni world class player

kuna watu mnamuona mchezaji akiwa anafunga au ku assist

euro iniesta anashnda mchezaji bora alikua na goli moja au mbili assist hazizid tatu

utakuwa mgonjwa sasa iniesta na hazard wap na wap
 
hazard ana kitu gani special pale epl had sasa we jamaa top assist wapo wakina t kdb,eriksen,sesc,ozil magoli wakina aguero,alikuwepo costa kane daaaaa hebu niwekee takwimu zake special mbona mnamkuza kwa ku drible na mbio au?
kaangalie wachezaji wenye impact wanapokuwa na mpira mguuni sio tu EPL bali duniani kote kama utanamkosa Hazard katika list za juu maana sitaki kukuchambulia kitu kimoja kimoja sijui magoli,assits.dribbles,take ons,most fouls n.k
 
hata ozil yupo ktk hiyo list sio hazard tu
 
utakuwa mgonjwa sasa iniesta na hazard wap na wap
nakushangaa ww unaesema hazard mbovu kisa goals n assist

ndo maana nimekupa mfano wa best player bila hizo sifa zako watu wanaangalia mchango katka makombe,,mchango ni wa namna nying
 
hazard ana kitu gani special pale epl had sasa we jamaa top assist wapo wakina kdb,eriksen,sesc,ozil , silva magoli wakina aguero,alikuwepo costa kane daaaaa hebu niwekee takwimu zake special mbona mnamkuza kwa ku drible na mbio au?
Punguza kisirani mkuu,tunajua ww ni mdogo ake Jones,maana alichokuwa anafanyiwa na hazard ni aibu
 
Back
Top Bottom