Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
[HASHTAG]#MUFC[/HASHTAG]
Marouane Fellaini and Marcos Rojo have travelled with the Manchester United squad to London. [men]![]()
[HASHTAG]#MUFC[/HASHTAG]
Mo Salah with his 12th goal of the season
another chelsea reject
Hizo ni stori za kusadikika, ukitaka tutaje wachezaji WANAOSEMEKANA kukataliwa na wenger tutajaza server ya jf.Ronaldo christiano alikataliwa na wenger unasemaje?
Kwanini ?Yani man utd akishndwa kumfunga Chelsea Leo pale darajan ...hatumfungi tena mpk chadema watakaposhika dola
Habari njema na kwa wakati mwafaka
Marouane Fellaini and Marcos Rojo have travelled with the Manchester United squad to London. [men]![]()
[HASHTAG]#MUFC[/HASHTAG]
Ronaldo christiano alikataliwa na wenger unasemaje?
Saa 19.30 pmKwan mechi saa ngap wakuu...???
Hizo ni stori za kusadikika, ukitaka tutaje wachezaji WANAOSEMEKANA kukataliwa na wenger tutajaza server ya jf.
Moh salah, KDB & Lukaku ipo wazi kabisa na kila mtu anajua walipita chelsea wakaonekana hawafai, hii sio stori ya kusadikika kama ya wenger
Hata Isco Alcaron alikataliwa na Ferguson kwa kuwa tu alionekana ana kichwa kikubwa kuliko kiwiliwili.
Hizi zipo sana mbona.
Kevin De bruyne anawaona wajuesijaona mantik yako sasa kama mfumo uliwakataa unataka ulazimishe wecheza kama liverpool? au huyo ndo mchezaji wa kwanza duniani kufeli timu flan kwenda timu b akang'aa?