middle east
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 1,309
- 1,693
Futa kauli yako mkuu ....rashford aliwaka sana na kujituma sema kulikuwa hakuna teamwork .....smalling na rashidi Leo walicheza muruaMikhi, Rashford, Lukaku na Herrera walidumaa mno
Futa kauli yako mkuu ....rashford aliwaka sana na kujituma sema kulikuwa hakuna teamwork .....smalling na rashidi Leo walicheza muruaMikhi, Rashford, Lukaku na Herrera walidumaa mno
Yule ni mchawi mkuu ....naskia route za Nigeria haziishi mkuu...Sijamuona matic akicheza......nimemuona ng'olo tu
Magoli si kipimo pekee kwa mchezaji aina ya Hazard, angalia majukumu yake mengine. Angekuwa Central striker hapo ningekuelewamkuu ntajie misimu mi 3 ambayo hazard kawa kwenye form katupia goli zaid ya 15 au hata 10 na assist 10 tukikwambia ni mchezaj wa kawaida usikatae
Mkuu,naendelea kusisitiza humjui huyo mtu..Alikua anapiga chenga?
Magoli si kipimo pekee kwa mchezaji aina ya Hazard, angalia majukumu yake mengine. Angekuwa Central striker hapo ningekuelewa


Target ilikuwa EPL ....kwa moto wa city ...ndo basi tenaPoleni kwa Maumivu Wakuu
Yamepita haya,, jamaa wametumia udhaifu wetu wakatuadhibu,,..
Chelsea alkua na nafasi y kushinda more than One ila tmejitahidi sio mbaya.. Japo wiki itaanza vibaya,,.
Timu yetu bado nzuri na baadhi ya wachezaji wameanza kurejea,, sio mbaya japo ni mapema kukata tamaa ila tunae!fukuza daaah!!! Hakamatiki..
@GGMU![]()
Timu mbovu misimu 3 inachukua ubingwa mara 2......nacheka kwa furaha Cute b yuko wapikufungwa sio kwamba mzur barcelona alipigwa 5 na bilbao kwenye ubora wake madrid kapigwa 1 na betis kwake je ni timu nzur?



HaaaaaaaLukaku man u ni mzigo kama wasira CCM



EPL labda babu Farg arudi ..lakin kwa mourinho sahau kabisa.Target ilikuwa EPL ....kwa moto wa city ...ndo basi tena