Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

7c7887ee65d0db5901df6deef1027a83.jpg
286528474807e4faa2b71df51be789b6.jpg


Okota mwenyewe Dugia
18f34b32938304547186179ea5e6788d.jpg


Eti Matic fundi nywiiiiiiiiiiiiiiiiii

aba4d7ccd13a6863307768ad39226e14.jpg



Hicho kinaitwa kichwa mparazo siku akipiga Lukaku nakunya sebuleni
241332b6e33baf034e95d5a93471a5e1.jpg


Mhindi coco na mjukuu wa Mama ndalichako


fe1e223e03c1ce1cbfc0c99f9c302a0b.jpg


The tactician
Uuuwiiii hii sio mutu ya kawaida ..hii itakuwa ni roboti aisee ...Robot Ngolo...
 
Magoli si kipimo pekee kwa mchezaji aina ya Hazard, angalia majukumu yake mengine. Angekuwa Central striker hapo ningekuelewa
Achana na huyo hajui kz za watu uwanjani


Sie tunajua tuko tumetulia twaangalia kz ya Hazard murua
 
Target ilikuwa EPL ....kwa moto wa city ...ndo basi tena
Mkuu Kna timu 20 znashiriki pale,,,
Timu kama 6 Ukianza na Arsenal,, Liverpool,, Spurs,, Chelsea,,Man City,, na Man Utd zote znapigania ubingwa na nafasi Nne za juu..

Ili Basi uwe bingwa inakupasa kwanza usifanye makosa pindi unapokutana na timu ambazo tunaweza sema avarage ama ndogo kabsa,,
Hicho kitu City ni kama wamekiweza,,
Pili ukikutana na mkubwa mwenzio basi unatakiwa umpunguze speed,, either umfunge ama u-droo
Hiki kitu pia City wamekiweza hadi sasa,,..

Yote hayo ni pamoja na ubora wa kikosi cha City.
Sisi bado kiasi chake Mkuu,,makosa bado mengi,, Baka na AM wangeongeza chumvi kidondani kama wangekuwa makini zaidi..

Ubingwa wa EPL umeshakua mgumu hasa wakati huu ambao PG ypo pale,,, tena akiwa na resources za Kiarabu,, si rahis sana kumshinda,,

Ila cha mhimu kujipanga Wakuu,, nlichogundua ndio maana wachezaji wanagawanywa katika makundi ili hali wanacheza mchezo mmoja,,, PSG sio wendawazimu kuweka mizigo mezani kununu WC Players,, hawa avarage Players ndio wanaigharimu timu,,, Bernado Silva ypo benchi pale city,, Draxler,,Pastore,,Moura,, na hata dgo Rabiot wapo benchi Pale PSG,,, kna Bale nao hawana namba za kudumu huko Bernabeu,, Sie tunataka Kna Mkhi watubebeshe Ubingwa??
SAF's era are Over... Pesa itumike kuleta furaha,,

Other wise [HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]
 
Sijasema majina. Nimesema hivi angalia majukumu ya mchezaji. Isitoshe huwezi kuongea la maana leo maana una depression

ushaanza kuhamisha magoli mpira uchezwe ulaya sijazamini hata maji tz niwe na depression upo sawasawa? turud kwenye mada hamna mahali tumezungumzia majina jamaa yako kaelewa sema umedandia mada tunazungumzia ukawaida wa mchezaj sio anavyokuzwa hakuna mahali nimeandika hatimizi majukumu yake unaweza kunionesha nilipoandika hatimiz majukum yake?
 
hazard nae mchezaji na ww? kawazid wa kina martial na rashford ubingwa wa epl na kujirusha tu pale chelsea mchezaj mlie nae ni cante tu
punguza mihemko ya kike upeo wako naona hauko sawa unamfananisha hazard na wakina martial na rashford
 
Kwa mwendo huu Taji la EPL msimu huu tusahau
Kuchukua ligi tena labda mpka babu fargie arudi la sivyo sahau kabisa.

Dah basi tena, tumenyang'anywa 3 points hivi hivi

wewe ulitaka uzipeleke wapi..
Tunayekimbizana nae ni moto wa gas mkuu..

Tuna timu nzuri ila kocha sijui mipango yake
Hahaha na bado ujakutana naye
mi mwenyewe nshakata tamaa kitendo cha kuruhusu kufungwa na timu mbovu bado tunahitaj kuijenga timu ubingwa hamna
Ukiona hizo "timu mbovu" zinakufunga basi ujue wewe ni m'bovu zaidi ...bado una safari ndefu sana kuijenga timu lako
 
Kuchukua ligi tena labda mpka babu fargie arudi la sivyo sahau kabisa.



wewe ulitaka uzipeleke wapi..

Hahaha na bado ujakutana naye

Ukiona hizo "timu mbovu" zinakufunga basi ujue wewe ni m'bovu zaidi ...bado una safari ndefu sana kuijenga timu lako

kabisa mkuu ukifungwa na timu mbovu jua bado ni mbovu nakubaliana na wewe
 
Back
Top Bottom