radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Kuhusu mechi ijayo usiiongelee kabisa. Naweza nikakuchezea mpira zaidi ya huu na nikakupiga za kutosha.
kalale mkuu ushapiga faru john nn
Kuhusu mechi ijayo usiiongelee kabisa. Naweza nikakuchezea mpira zaidi ya huu na nikakupiga za kutosha.
We jamaa unanifurahisha sana. Ila kawaida yenu bhana. Hii yote baada ya kufungwahazard nae mchezaji na ww? kawazid wa kina martial na rashford ubingwa wa epl na kujirusha tu pale chelsea mchezaj mlie nae ni cante tu
Hahaa.. Mi nalala kwa amani we unalala kwa stress usingizi hupatikalale mkuu ushapiga faru john nn

Alikua anapiga chenga?Mkuu hivi unamjua Dimitar Berbatov kweli?
Yule miguu yake ilikuwa na vinasa mpira, usimfananishe kabisa!
Timu bovu kweli kweli...msimu uliyopita alikukaza 4 darajani akakudungua tena ka moja leo tena kapiga ka moja tu.....possesion inasoma ngapi.kweli sisi bado kama tunafungwa na litimu libovu kama hili li chelsea city tutamuweza kweli
We jamaa unanifurahisha sana. Ila kawaida yenu bhana. Hii yote baada ya kufungwa
Usiseme nimehasiwa mkuu, jamaa anasema lukaku hajui kupiga chenga na mimi nikamuuliza barbertov alikua anajua kupiga chenga??Huyo atakuwa kahadithiwa tu kuhusu Berbatov naamini hajamuona huyo fundi!!
Mlianza na moto wa mabua....mkaanza kutamba 4G. Ohooo sijui zimeyeyukia wapi 4GLeo ndio tumecheza hovyo kuliko siku zote msimu huu
Timu bovu kweli kweli...msimu uliyopita alikukaza 4 darajani akakudungua tena ka moja leo tena kapiga ka moja tu.....possesion inasoma ngapi.
Wewe nitajie mchezaji yoyte aliyefanya ivyo..mkuu ntajie misimu mi 3 ambayo hazard kawa kwenye form katupia goli zaid ya 15 au hata 10 na assist 10
Bangi mbaya sana hazard akija man u anacheza mamba zote hadi yule kahaba de gea benchiLingard
Bangi mbaya sana hazard akija man u anacheza mamba zote hadi yule kahaba de gea benchi
Unavyolinganisha Lingard na hazad sio matusi?Matusi ya nini mzee?
Kocha wa ajabu sanaMou hata akikaa miaka kumi Man Utd hawezi kutupa taji la EPL
Herrera umemuonea sana, labda kama haujatazama mechi, hakuna mchezaji amejituma leo kama Herrera ameokoa sana magoliMikhi, Rashford, Lukaku na Herrera walidumaa mno
Unavyolinganisha Lingard na hazad sio matusi?
Lingard hampati hata ajibu alfu unamlinganisha na malaikaMatusi gani? Jiheshimu mzee, uku sio sehemu ya matusi .
Ndio maana nikapata mashaka kama anamjua..Huyo atakuwa kahadithiwa tu kuhusu Berbatov naamini hajamuona huyo fundi!!