Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Chelsea team: Courtois; Azpilicueta, Christensen, Cahill (c); Zappacosta, Bakayoko, Kante, Fabregas, Alonso; Hazard, Morata. [HASHTAG]#CHEMUN[/HASHTAG]
Mkuu kwan Young ana tatizo gan?Naona yule beki mahiri ashley young anaetegemewa sn na mou anapeta km kawa2mekuja kutafuta draw
Aisee huyu kuli cmkubali ht kdgoooMkuu kwan Young ana tatizo gan?
Wale wataalam wa links tupeane hapa for livestream.mm ntajitahid kuweka kadri ntavoweza game ya man u
Good
Mbana simuoni Juan Mata even sub
Duuh Conte kajaza viungo, katikati atatuwala huyu, Mourinho kaweka viungo wawil tu, wakuu tutachomoka kwel hapa?Chelsea team: Courtois; Azpilicueta, Christensen, Cahill (c); Zappacosta, Bakayoko, Kante, Fabregas, Alonso; Hazard, Morata. [HASHTAG]#CHEMUN[/HASHTAG]
Hawa jamaa watatuwin kwenye mid aisee hasa upande wa fiziki. Watu wetu wa kati hawana energy na powa ya kutosha.Duuh Conte kajaza viungo, katikati atatuwala huyu, Mourinho kaweka viungo wawil tu, wakuu tutachomoka kwel hapa?
Watu wetu wa kati hawana energy??? Upo serious kweli mkuu ???......mechi ya Leo kiungo gani mwnye nguvu kumshinda matic .... ????......kwa pale EPL viungo wachache wenye nguvu matic na dembele wamoHawa jamaa watatuwin kwenye mid aisee hasa upande wa fiziki. Watu wetu wa kati hawana energy na powa ya kutosha.