lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 13,198
- 28,079
Mkhi ana homa za vipindi..pale no.10 hamna mkhi kwisha habar yake kupata mchezaj kariba ya rooney tutasota sana
Kocha anapenda wachezaji wenye miguvu ufundi sifuri..
Hakuna kocha atampata Martial halafu amuweke bench ni ujinga..



