lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 13,198
- 28,079
City anajitangazia ubingwa mapema mno.Kwa jinsi tulivyocheza leo, kuongelea suala la ubingwa itakua ni kujifurahisha tu ila kiukweli hatutishi wala nini.
Hana mshindani pale
City anajitangazia ubingwa mapema mno.Kwa jinsi tulivyocheza leo, kuongelea suala la ubingwa itakua ni kujifurahisha tu ila kiukweli hatutishi wala nini.
Kwa jinsi tulivyocheza leo, kuongelea suala la ubingwa itakua ni kujifurahisha tu ila kiukweli hatutishi wala nini.
Sina kumbu kumbu kama barbertov alikua anaweza kupiga chenga, kupiga chenga sio kipimo cha straicker, straiker kazi yake ni kufunga na siokupiga chenga!!Unafungwa na mchezaji aliyekuwa chaguo lako la kwanza kama no 9..
Mshambuliaji hawezi hata kupiga chenga mbili.. Hivi tuliwahi kuwa na namba tisa aina ya lukaku?
Upo sawa mkuuTuna timu nzuri mkuu, sema mbinu za Mou kwenye big match zinaboa sana.. anajihami mno
Mbona kipindi cha kwanza tulicheza fresh na hata kuanzia dk ya 78.. Ila tulivyorudi kipindi cha pili sijui aliwaambia timu isishambulie maana timu nzima ilikua nyuma.
Anapaswa abadilike na aache uoga wake, angalia man city waleeee
Yani man utd akishndwa kumfunga Chelsea Leo pale darajan ...hatumfungi tena mpk chadema watakaposhika dola








Hatuwezi kumfunga City kwake. Tatizo Mou anacheza mechi kubwa akiwa na hofu. Ukiacha City, hizi zingine so timu as kuogopa. Ila hatukuwa na performance mbaya sana.kweli sisi bado kama tunafungwa na litimu libovu kama hili li chelsea city tutamuweza kweli
Chelsea 1 vs Man U 0Tunashinda tena
Chelsea 0-3 Manutd
Mou hata akikaa miaka kumi Man Utd hawezi kutupa taji la EPLTunayekimbizana nae ni moto wa gas mkuu..
Tuna timu nzuri ila kocha sijui mipango yake
Unafungwa na mchezaji aliyekuwa chaguo lako la kwanza kama no 9..
Mshambuliaji hawezi hata kupiga chenga mbili.. Hivi tuliwahi kuwa na namba tisa aina ya lukaku?