OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Mtaani leo qumetulia qama quna msiba



Nin qimetoqea....




Nin qimetoqea....




Wanazingua sana inaonyesha wanasomaga commentsNaona leo ule umoja wa wale wasio mashabiki wa MUFC wamehamia humu kabisa.. 😀😀😀😀 MUFC ndio timu yenye washabiki, timu nyingine zinashabikiwa na wenye chuki na MUFC!
Bado Spurs anawasubirimatokeo yabaki hivi hivi maana kuna mbwa zilibweka sana mitaani






Hahaaa.. Mkuu Ngariba kuna kitu kinaitwa joto la jiwe. Sijui unakijua.?Moja kati ya mechi ya ovyo niliowai kuitazama.





Hahahaaaa... Kauli za kishujaa hiziNaona leo ule umoja wa wale wasio mashabiki wa MUFC wamehamia humu kabisa.. 😀😀😀😀 MUFC ndio timu yenye washabiki, timu nyingine zinashabikiwa na wenye chuki na MUFC!
kwako imeteketea kabisa😀Kwa jirani kule nyumba inaungua vibaya sana
Leo mumechezea kipigo na timu yenu mbovu..!Kuna watu ukiwasikiliza na ukiona ni nini timu inafanya unaweza kuwatukana. Mpaka sasa hatujapoteza mechi yoyote kwenye Epl na UEFA, uyo mtu anatoa wapi nguvu ya kusema tumepoteza identity yetu?
Kuna watu hawakupenda yale matokeo ya Liverpool, walikua wanasubiria tufungwe halafu wapate ya kuongea. Tatizo hatukufungwa ndio maana wana weweseka.
kwako imeteketea kabisa😀
Hii ndio dawa na fundisho kwa mourinho aache kumfananisha Rashford na takataka Marrtial au Mata na takataka Mkhitaryan. Unamtoa Mata eti Mkhitaryan azibe pengo lake????? Maajabu