Point 3 muhimu
Kukosa mchezaji mwenye uwezo binafsi wa kuweza kupangua mabeki inatugharimu sana!Dk 72 jamaa wamejaa golini kwao na Man United aawana mbinu kabisa ya kuvunja ukuta wanacheza mchezo uleule tu usio na kasi
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Pindua pindua labda kama ile ya vodacom [emoji13]
Hiyo ndio kazi ya Lukaku!Kukosa mchezaji mwenye uwezo binafsi wa kuweza kupangua mabeki inatugharimu sana!
Kukosa mchezaji mwenye uwezo binafsi wa kuweza kupangua mabeki inatugharimu sana!
Hiyo ndio kazi ya Lukaku!
mambo namna gani pale
Wapi wazee wa 3&4 G
Mwanzo wa msimu hamkuyajua hayaNdio game makosa mawili yametuazibu