mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 45,751
- 55,787
mkuu tuliza munkari, gem bado mbichi sanaSiku zinavyozidi kwenda timu inadrop tu sijui ndo majeruhi ama nini na jones ndo kaumia i hope sio injury kubwa sana ya mda mrefu....
Tusubiri kupindua matokeo kama itawezekana.
Hahahaaa.. Kila mtu lazima aonje joto la jiwe. Hiki kikombe ni chenuEee Mungu Tuepushe na kikombe hiki....amiiin

Hahahaaa.. We jamaa umeniacha hoi sana.Supu Leo imeingia kinyesi cha kuku.

Hahaaa kauli za kishujaa hizi.mkuu tuliza munkari, gem bado mbichi sana
GGMu
Pindua pindua labda kama ile ya vodacomSiku zinavyozidi kwenda timu inadrop tu sijui ndo majeruhi ama nini na jones ndo kaumia i hope sio injury kubwa sana ya mda mrefu....
Tusubiri kupindua matokeo kama itawezekana.

Najua wengi mtanibishia city ni moto wa mabua utazimwa muda si mrefu manchester united ni bingwa wa epl tunzeni hii nina uhakika 100%√