Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

562844f1197b510c5f4e2e8e3d42d4b8.jpg
 
Mhh leo kazi ipo hii team kama awajarudi mapema kina pogba na bally hakuna kitu
 
Siku zinavyozidi kwenda timu inadrop tu sijui ndo majeruhi ama nini na jones ndo kaumia i hope sio injury kubwa sana ya mda mrefu....
Tusubiri kupindua matokeo kama itawezekana.
 
Man u tumecheza Mpira mbovu sana tungojee kipindi cha pili labda wachezaji watabadilika.
 
Back
Top Bottom