Mpigie simu mwambie aendelee kuchambua tuWakuu kuna mchambuzi wa soka mmoja wa UK anasema "UNITED HAS LOST ITS IDENTITY UNDER JOSÉ MORINHO" je kuna ukweli wowote hapo wakuu..au jamaa amezngua!.
Pasua kichwa hao saiv timu inashinda wanakuja na maneno hayo acha kocha atuongezee wachezaj wa 3 wenye spidWakuu kuna mchambuzi wa soka mmoja wa UK anasema "UNITED HAS LOST ITS IDENTITY UNDER JOSÉ MORINHO" je kuna ukweli wowote hapo wakuu..au jamaa amezngua!.
Wakuu kuna mchambuzi wa soka mmoja wa UK anasema "UNITED HAS LOST ITS IDENTITY UNDER JOSÉ MORINHO" je kuna ukweli wowote hapo wakuu..au jamaa amezngua!.
Big pointiKuna watu ukiwasikiliza na ukiona ni nini timu inafanya unaweza kuwatukana. Mpaka sasa hatujapoteza mechi yoyote kwenye Epl na UEFA, uyo mtu anatoa wapi nguvu ya kusema tumepoteza identity yetu?
Kuna watu hawakupenda yale matokeo ya Liverpool, walikua wanasubiria tufungwe halafu wapate ya kuongea. Tatizo hatukufungwa ndio maana wana weweseka.
It's true, ila ile namba pale mbadala ni mata peke yake ambapo tunamtegemea kucheza kulia... Ingawa binafsi naamini rashford anaweza kucheza pale na akafanya mambo.Wakuu personally naona km HENRIKH MKHITARYAN anahitaji kupumzishwa kidogo maana moto wake umepungua sana siku hizi ukilinganisha na alivyoanza msimu..Asipocheza km mechi mbili hivi nahc itakuwa poa sana kwake maana atarudi akiwa fresh na nguvu mpya km mwanzoni vile..au mnaonaje wakuu..
5:00pmmuendelezo wa 4G , muda gani unaendelea Leo wakuuu ?