Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hiki kiungo cha Herera + Matic kila wakicheza pamoja ni ama tufungwe, sare na kama ushindi ni goli moja pekee.
 
Me nahisi injury pia ni kikwazo maana tumemkosa mtu creative kama POGBA pia yuledogo LINDELOF bado sana..ilipaswa Anatoka JONES anaingia BAILLY..lkn baada ya dogo kuingia tukapigwa viwili vya fasta thru him!!! Anyway we will strike again GGMU! GGMU!!
 
Wazee wa 4G vipi mpo kwenye matengenezo ya mnara?
Mnara umeyumba kidogo.....!!!Halotel haishiki kabisa
6cdf8862251b218caa5cf6d52a2da09e.jpg
 
Back
Top Bottom