Guantanamo Sobibor
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 897
- 1,133
🙁Game ijayo na spurs😱
We wont afford to lose back to back. We're UTD bro!🙁Game ijayo na spurs😱
Its a matter of time and show😛We wont afford to lose back to back. We're UTD bro!
Ahahaaaaah....muendelezo wa 4G , muda gani unaendelea Leo wakuuu ?
Hahahaaaaaa... Poleni jiranimkuu nikajua nateleza leo kwenye ganda la ndiz duuuu kilichotokea 2-1
Mkuu...mkuu tuliza munkari, gem bado mbichi sana
GGMu







Bhwahahahaaaa..We wont afford to lose back to back. We're UTD bro!
Ndio kauli zao za kishujaa"Hata sijaumia sana!"
Hahahaha
Mkuu hujakosea.Tuseme Mwanitesa United katolewa bikra na waliopanda daraja?😱
Doh basi hamna timu mule kama ndo hivyo😱Mkuu hujakosea.
Ahahaaaaah...Hii game tunashinda!
Kwani mpira bado haujaisha mkuu...?Moja tayari.... tuendelee kuangalia
Rashford