Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Haya jamani nafikiri tumeshuhudia kwa macho yetu Manchester united 8 Arsenal 2.
Sasa swali ni - kwanini wenger asijiuzulu? Au ana roho ya Gadaffi?
 
yaani huyu ni kocha wa milele...hahaaa ingekuwa Chelsea yaani saa hizi wenger kishatupiwa virago zamani tu
 
badili heading kama unaweza sio 0-8, ni 2-8...

mkuu kwa kichapo alichopata sioni umuhimu wa kuweka hizo mbili sio kwamba sijaziona usije sema m arsenal bure
haya bas ni 8-2 ila man u wauwaji wakubwa kabisa
 
yaani huyu ni kocha wa milele...hahaaa ingekuwa chelsea yaani saa hizi wenger kishatupiwa virago zamani tu

kigogo ningekuwa london ningewafundisha wimbo wa kumwimbia arsenal

""alelluya tutaaaonnaaa allleluya tutaonannn tutaoonnana mbinguni kwa bwana alelluyaa tutaoonaa """
 
na wasubiri etihad..mnakaribishwa..

"..hata nikifungwa mi ni aseno na sio man uuuu.." by Roma nimeipenda sana qoute yake kwenye mathematiksi..
 
Mfarisayo na AbTitchaz hebu wekeni mapicha ya kumbukumbu sasa.................
 
Kuna watu wanamiss hii party, Mfarisayo, Manda, Belo, Nayvone, BelindaJacoob na wengine ambao sijawataja.
Kusema ukweli baada ya goli la sita nilianza kuwaonea huruma Arsenal.
 
Kuna watu wanamiss hii party, Mfarisayo, Manda, Belo, Nayvone, BelindaJacoob na wengine ambao sijawataja.
Kusema ukweli baada ya goli la sita nilianza kuwaonea huruma Arsenal.

Mkuu we endelea kuselebuka huko uliko, bila shaka na wengine wako maeneo tofauti wakijiburudisha kwa furaha ya ushindi mnono.

Leo magobore tumewafunga mdomo vibaya, hata visingizio hakuna.
 
bado kuna timu zinafungwa 8! nimeshindwa hata kushangilia.
 
Aaaah still crusing at arsenal expenses.............wadau wote wa MAN UTD hongereni sana, tunawatakia matanga mema watani wote,nadhani ETIHAD wamekubali sisi ni kiboko midlands
 
122594149.jpg
Manchester-United
 
Kuna watu wanamiss hii party, Mfarisayo, Manda, Belo, Nayvone, BelindaJacoob na wengine ambao sijawataja.
Kusema ukweli baada ya goli la sita nilianza kuwaonea huruma Arsenal.

Mkuu tupo yaani hapa namsubiri mzee wa ngebe WACHA maana hata leo atasingizia bahasha .......................cheeers.Kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh
 
Msiwe na wasi wasi angalau mtakuwepo kwenye kumi bora, nafasi ya nane si haba
 
Mashabiki wa arsenal wanafuata ushauri wa dactari(wenger) wa kuishi kwa matumaini
 
Back
Top Bottom