UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 10,046
- 9,341
Huku wala siyo kufungwa, ni kushindiliwa!
Hili ni funzo tosha kwa Arsene wenger na bodi mzima ya club.....waondoke au wanunue wachezaji wanaoujua footballsoni! soni. NIliposikia 8 nilidhani Arsenal ya embe kiburugwa imefungwa katika kombe la mbuzi. Kumbe ni real Arsenal.
i'm soooo happy today

man 8 arsenal 2
Kuna watu wanamiss hii party, Mfarisayo, Manda, Belo, Nayvone, BelindaJacoob na wengine ambao sijawataja.
Kusema ukweli baada ya goli la sita nilianza kuwaonea huruma Arsenal.
Hongereni kwa kurudisha magoli mliyofungwa na Marseille tutawafundisha adabu msiwe na wasi wasi khe khe khe khekhe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Lakini League bado mechi 35 tunawatakia mafanikio mabovu khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Kaka naona unajaribu kujifariji kwa kulinganisha msiba na kuzimia
Anyway, naomba nikupe pole kwa kuwa hukutarajia kushuhudia timu yako ikifungwa idadi hii ya magoli kwenye competitive games ungali hai.....its pitty, just to be honest but we needed them also for our Noisy Neighbours