Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

hiki kichapo cha leo noma! khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!
 
siamini macho yangu...............kumetokea nini tena

Manda, Belo hebu nipeni taarifa..........
 
siamini macho yangu...............kumetokea nini tena

Manda, Belo hebu nipeni taarifa..........

Mkuu we endelea kushangilia ushindi mnene!!

Arsene wenger baada ya kuifunga udinese alijipa matumaini kwa kusema "i believe in this team",........

Sidhani kabisa kama baada ya kisago cha leo, kama anaweza kuthubutu kusema maneno hayo.
 
hongereni sana wapinzani, mmetupunguzia kelele kwa kiwango kikubwa hapa mjini!
 
Wapenzi wa EPL hasa mashabiki wa Arsenal na Manchester, heshima mbele wakuu wangu!.

Hivi kwa nini Arsenal mara nyingi inafungwa na Manchester? sababu hasa ni nini? -
Binafsi nafikiri kama kwenye maisha kuna bahati basi hata kwenye mpira kuna bahati. So nafi
kiri Man u pamoja na kuwa na timu mzuri lakini pia wanabahati kushinda timu yoyote England.
Maana hata kwenye mtanange wa leo utaona Arsenal watacheza kama Barca,lakini mwisho wa
dk 90 utaona Man U 3 Arsenal 0 au 1.

Au nyie wenzangu mnaonaje? kwanini Arsenal inafungwa mara nyingi na Man U?
Arsenal ni timu ya kawaida na kwa sasa ni bovu
 
Back
Top Bottom